Wanawake wanaojitegemea wanafananaje? na wanapatikana wapi? hata wale wanaojitegemea bado wakipata kidume wanataka nao wamkabidhi matatizo yao yote 🙂
Same here partner...ngoja baadae nikipata nafasi nilete kitu nijue unasimama wapi!!
Hahahhahahaha....we partner mambo yataendaje vizuri wakati unanicheleweshea yule anaeweza kua alinipa ubavu wake?!Lolz
Patiently waiting... (nilikua nauliza upande ule tulotatua tatizo lile na yule mwanaume mbishi kwa msaada wa michelle)
Hhahha...lile limeisha partner!!Ngoja niweke mafuta kwenye hili gari langu linalotembea alafu nianze kazi.....
Tabia mbaya dearest....si tulishakubaliana kuwa ni ... iweje huu mjadala unaendelea??? na mimi sijaambiwa kuwa kuna mabadiliko????Same here partner...ngoja baadae nikipata nafasi nilete kitu nijue unasimama wapi!!
Hahahhahahaha....we partner mambo yataendaje vizuri wakati unanicheleweshea yule anaeweza kua alinipa ubavu wake?!Lolz
Tabia mbaya dearest....si tulishakubaliana kuwa ni ... iweje huu mjadala unaendelea??? na mimi sijaambiwa kuwa kuna mabadiliko????
Sihitaji darasa lolote kuhusu nyie viumbe. Mnathamini pesa kuliko utu, hebu chungulia response yako ya kwanza uone mwenyewe ulivokubali..lol. Sio kwamba nalalamika naweka tu msisitizo.aaah! sasa nimeelewa tatizo lako kubwa... you can not tell the difference, na hilo ni darasa jipya kabisa.
Sihitaji darasa lolote kuhusu nyie viumbe. Mnathamini pesa kuliko utu, hebu chungulia response yako ya kwanza uone mwenyewe ulivokubali..lol. Sio kwamba nalalamika naweka tu msisitizo.
It's a tale that is all too common. Women who are gold diggers and who see a potential date as an express to money land. Tanzanian women are famed for their beauty, homemaking and [COLOR=red]bedroom skills[/COLOR], but one of the things that minuses their prowess is the habit by many to take men as walking wallets.
Usimlaumu mpenzi mimi ndo nilikwamisha mambo... ni weekend
kila ya mwisho wa mwezi ndo hutokea hio dinner but mwezi ulopita
mamamkwe alikua anasumbuliwa hivyo ndo maana hukushituliwa,
nilienda kupalia mapenzi kiumeni kupandisha CV ya mke...
hujanielewa dearest,nilimaanisha huyu dearest Lizzy tulishakubaliana kuwa yeye abaki na CP.....sasa nashangaa haya masuala ya kuweka gari mafuta anaenda wapi?
hujanielewa dearest,nilimaanisha huyu dearest Lizzy tulishakubaliana kuwa yeye abaki na CP.....sasa nashangaa haya masuala ya kuweka gari mafuta anaenda wapi?
Hahahha....dearest we mwenyewe unajua siwezi kukuangusha hata siku moja....ukizingatia ulivyochoka siku ile ndo kabisaaa siwezi!!!Nataka nikamnunulie mupenzi zawadi sasa sitaki kumuomba yeye anipeleke ili asijue ndo maana naweka mwenyewe kimya kimya!!
Partner lazima ya dharura yawepo...just incase!!
Leo wanawake tunalo....
Hivi hizi ATM zenye miguu huwa zinapatikana wapi na mimi nitafute yangu?!
Seriously though kama kila siku mnalalamika kwamba nafasi ya mwanaume haitiliwi maanani tena na mnataka mrudi kujulikana kama vichwa na sio miguu kubalini tu kuchunwa!Japo binafsi naamini swala la kusaidiana ila ni kazi yenu kuweka mkate mezani na kuongeza nguo kabatini...unless uko tayari kwa USAWA mnaoukataa na kuupinga sana!
Leo wanawake tunalo....