Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Jamaa kaileta topic akidhani kila mtu anafuatilia technological changes au kila mtu ni Engineer wa kuweza kuelewa maana ya UFO or DCHS.

Ili uweze kumuelewa mtoa mada inabidi uwe current sana na issue za technology, visit NASA website and other Science journals. Yani uwe mtu unayependa kufuatilia mabadiliko ya technojia katika Dunia hii kila mara.

Ukizingatia ameshasema kuna vitu havijafundishwa vyuo vikuu bado! inabidi uwe more than current mkuu.
 
Ndugu Zanguni

Ni Haki ya kila raia kupata taarifa "INAYOMUHUSU" ingawa si lazima sana aelewe kila kitu. Kuna kundi la watu wachache sana huelewa sana..

Bandiko hili ni Kwa Informers wote waelewe Kwamba tuko nyuma taratibu tukifuatilia kile mabwana zao wanachotutendea, Na wawapashe. Ni wazi Kwa Stage ya mataifa yaliyopo Leo hii Kama kuna Taifa linalowaza kupambana Na Wamarekani Basi watakuwa machizi wenye ndoto Za Mchana. Niseme wazi ingawa wananchi wa Marekani Na dunia Kwa ujumla tunaishi Kwenye ulimwengu wa kwanza lakini USA Security iko mbele DUNIA mbili.

Mbali Na Taifa hili kutumia Nguvu Za Kimasonia, illuminant , shamanism na nyinginezo kutengeneza State Security Bado kuna kitu Camp-David hawajakielewa. Bado kuna nguvu kubwa zaidi ambayo hawawezi kuipata Kwa Sababu ni Clean-power. And that clean power IMO withing some specific individual tena in Africa hata Tz na they can be aware with what's going on Kwenye meza Zao Za kiusalama.

Lazima Mataifa ya Kiafrica tugeuze uelekeo, huku tunako lalia wenzetu walishaamkia miaka tele iliyopita. Walishashindana sana wakashindwa Na kujikuta wakitengeneza mataifa ya kimashindano Na chuki. Siasa Za kimashindano Na Chuki, uchumi Wa kunyang'anyana Na kufinyana. Na ugomvi huu mpya Kati ya Benk ya Dunia Na Benki ya Maendekeo utapoingia kwenye maturity, utaipiga Africa vipande visivyoungika Kama Leo hatuta badili mwelekeo. Tutabadili mwelekeo Kwa Kwa mambo Saba

1:- kuachana Na Siasa Za kibaguzi, Matusi Na mitengano. Hizi zimetutenga Na kutufanya tutawalike hadi fikra zetu(devide and rule them). Na hii itafanikiwa Kwa state Harmony ya kuondoa kitu Siasa Za VYAMA VINGI Na CHAMA KIMOJA. Kuondoa kabisa system ya kitu VYAMA. Vyama bi Parasitie Kwenye nchi. HAKUNA Faida ya VYAMA zaidi ya mfumo wa watu kula Na kutawala wengine. Iwepo SERIKALI MOJA. Na KATIBA Na miongozo yote ya Nchi lazima iwe wazi. Mtu hatachaguliwa Kuwa Kiongozi Kwa nguvu ya Domo lake au utamu Wa maneno anayoropoka Bali Matendo ya Kazi alizotenda Na anazotenda. Mfano Mtu unamchagua awe Kiongozi wa waendesha baskeli Na Yeye hata hajui kuendesha kitu hiyo, au kiongozi Wa mpira ilihali hajawahi kusakata kabumbu that 's what mean.

2:- Kwa Sasa nchi ni kama iko uchi, watu wanakurupuka kwenda maofisini hawajui Leo watafanya Nini? Watachokikuta ofisini Ndo hicho watafanya. Lazima kila kiongozi Na mfanyakazi awe Na jukumu la wiki au mwezi. Malipo au mshahara wake lazima uwe sambamba Na Kazi aliyo fanya. Kwa Sasa Kwenye ofisi Nyingi Za Serikali kuna watu wanateseka sana wengine wanachapa usingizi lakini mshahara mmoja hii sio haki. Lazima watu watoke au waingie madarakani kutokana Na kushindwa majukumu Yao Na si maneno au majungu plus fitna.

3:- Lazima mapato Na matumizi ya Mtu hasa Kiongozi yawe wazi Kwa Mtu atayetaka kufuatilia. Lazima kuwe Na majibu ya ziada ya Fedha anazozipata Kiongozi ili kung'amua mianya ya wizi.

4:- Lazima Kama Taifa Tufunge milango ya Kitu misaada. Hakuna kitu Kama hiyo, msaada ni ulang'ai Na uongo mkubwa. Tujifunze matumizi halali ya rasilimali Ardhi Na watu Kwa kile tulicho nacho.

5:-Watu tusiishi kama mbwa, laZima kila mmoja aishi Kwa kile anacho kiamini. Kama wewe una Dini Basi ishi kadiri ya Dini yako inavyokuelekeza Na ukikosea uhukumiwe sambamba Na Imani unayo iamini Na ni kitu kibaya sana Mtu akiasi imani Yake. Na Kama huna imani yoyote Basi Taifa likujue Na kukuenzi hivyo Na si vinginevyo.

6:-Chakula kisiwe biashara

7:- Njia zote Za Mawasiliano Na Mafuta zisiwe biashara Bali huduma zimilikiwe Na Serikali..
 
hivi nani anachanganya mambo apa mwandishi au sisi wasomaji?
 
niko zero, fafanua maana DHCS ili basi hata unaowaambia wawe japo na idea na kile unachowambia, naamini topic yako ni nzuri inalenga kufundisha na kuelimisha. Na kama wengi walivyokwisha kusema, hakuna binadamu anaejua kila kitu, mimi ntajua hiki wewe utajua kile.
 
Ndugu zangu Watanzania

Dunia sasa inapitia kwenye mzunguko wa tatu.. Lazima watu makini tuweze kujipanga kuokoa jamii zetu kutokana na mabadiliko ambayo hayaepukiki.

Sipendi kuongelea wimbi la ongezeko la matukio ya Uhalifu hasa UFO's na mengineyo lakini tu sekta ya makuzi ya sayansi ni Swali la kujiuliza sana kwenye nchi zetu hizi ambazo tunafuata mikia kwenye nyanja NYINGI.

Niseme wazi pasipo baraka za Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa, Mataifa yenye nguvu sasa yamesharusha DHCS. Ikumbukwe Uvumbuzi wa Satellite uliifanya dunia kupata chombo cha kubebea antena za mawasiliano, lakini DHCS hazibebi bali zenyewe hutumiwa kutenda kazi zikiwa angani kwa msimamo wa nguvukani(gravitation) na space-vacuum (VCI rotation). ni camera zenye lensi inayotumia kimiminika haijawahi kufundishwa hata vyuo vikuu. Kamera hizi zina uwezo wa kuondoa kabisa matatizo ya box-flm au PIXCEL, na kuonyesha kitu kwa asili yake. mbali na hapo matumizi ya kweli kwamba hewa ni kimiminika (LIQUID), kina mawimbi yenye nafazi pana zaidi ya kusafirisha sauti. inasadikika kwamba sauti zote tunazoongea huwa hazipotei, sauti husafiri kutokana na masafa ya hali ya hewa. kamera hizi zina uwezo wa kukusanya sauti hizi, ikazitafsiri na kuchambua njema na mbaya kutokana na maelekezo zilizo pewa, na kisha kuzifuatilia sauti hizo au mawasiliano hayo popote na vyovyote ndani ya sekunde chache zaidi.

Bidii za mataifa ya mashariki ya kati na Korea kaskazini ya kupinga matumizi ya simu za kisasa na intaneti hayasaidii hata kidogo kuweka supreme security za ndani na nje ya nchi zao. DHSC hupenya popote na vyovyote.. wasiwasi wangu ni kwamba ikifika mahali wakazibebesha silaha hasa UFO basi kuna hatari ya kumdhuru mtu yeyote na popote watakavyo and i am sure wako mlangoni au wameshaingia kwenye zoezi hili.

ndugu zangu Watanzania.
Tunashibishwa siasa za kishenzi, siasa za kutukanana, siasa za kukebehiana na kupigwa na upofu wa wa kile kinachoendelea duniani. Tunagombania taifa ambalo tayari limeshatekwa siku nyingi sana. ni wazi hatuna mabavu ya Kupambana na Mataifa haya yenye Nguvu za kiuchumi.

lakini Tunacho ambacho hawana, tunaweza kujenga taifa lenye AMANI, taifa tulivu na lenye upendo. Tunaweza kuwashinda kwa Nguvu ya AMANI. lazima kuchagua mfumo wa MAISHA YA KUJITOFAUTIOSHA na mataifa haya, mtindo tulio nao unatupeleka kutenda kama wao walivyotenda miongo mingi iliyopita NA KUSHINDWA. lazima tubadilike

Bye Nelson

CCA
Bango lako ni la kitaalamu mno! Hujaweza kueleza nini ni nini wala maana ya hii ni nini. Kwa mfano: DHCS kirefu chake ni nini? Kwa sababu nilizoeleza, mimi sijaambulia kitu kwenye bango lako mheshimiwa Engineer!
 
Jioni nitakuwa kwenye debate hapa viwanja vya Babtist Kona ya Bwiru kuna debate ya nani mwana wa Mungu na kati ya nguruwe na ngamia kipi kinaongeza kolestro na omega 9 mwilini! Kwi, kwikw! Wenzetu wamefika huko sisi tumekamata biblia na quran.....nimeamini lengo la vitabu hivi nizaidi ya brain wash!
 
Ndugu zangu Watanzania

Dunia sasa inapitia kwenye mzunguko wa tatu.. Lazima watu makini tuweze kujipanga kuokoa jamii zetu kutokana na mabadiliko ambayo hayaepukiki.

Sipendi kuongelea wimbi la ongezeko la matukio ya Uhalifu hasa UFO's na mengineyo lakini tu sekta ya makuzi ya sayansi ni Swali la kujiuliza sana kwenye nchi zetu hizi ambazo tunafuata mikia kwenye nyanja NYINGI.

Niseme wazi pasipo baraka za Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa, Mataifa yenye nguvu sasa yamesharusha DHCS. Ikumbukwe Uvumbuzi wa Satellite uliifanya dunia kupata chombo cha kubebea antena za mawasiliano, lakini DHCS hazibebi bali zenyewe hutumiwa kutenda kazi zikiwa angani kwa msimamo wa nguvukani(gravitation) na space-vacuum (VCI rotation). ni camera zenye lensi inayotumia kimiminika haijawahi kufundishwa hata vyuo vikuu. Kamera hizi zina uwezo wa kuondoa kabisa matatizo ya box-flm au PIXCEL, na kuonyesha kitu kwa asili yake. mbali na hapo matumizi ya kweli kwamba hewa ni kimiminika (LIQUID), kina mawimbi yenye nafazi pana zaidi ya kusafirisha sauti. inasadikika kwamba sauti zote tunazoongea huwa hazipotei, sauti husafiri kutokana na masafa ya hali ya hewa. kamera hizi zina uwezo wa kukusanya sauti hizi, ikazitafsiri na kuchambua njema na mbaya kutokana na maelekezo zilizo pewa, na kisha kuzifuatilia sauti hizo au mawasiliano hayo popote na vyovyote ndani ya sekunde chache zaidi.

Bidii za mataifa ya mashariki ya kati na Korea kaskazini ya kupinga matumizi ya simu za kisasa na intaneti hayasaidii hata kidogo kuweka supreme security za ndani na nje ya nchi zao. DHSC hupenya popote na vyovyote.. wasiwasi wangu ni kwamba ikifika mahali wakazibebesha silaha hasa UFO basi kuna hatari ya kumdhuru mtu yeyote na popote watakavyo and i am sure wako mlangoni au wameshaingia kwenye zoezi hili.

ndugu zangu Watanzania.
Tunashibishwa siasa za kishenzi, siasa za kutukanana, siasa za kukebehiana na kupigwa na upofu wa wa kile kinachoendelea duniani. Tunagombania taifa ambalo tayari limeshatekwa siku nyingi sana. ni wazi hatuna mabavu ya Kupambana na Mataifa haya yenye Nguvu za kiuchumi.

lakini Tunacho ambacho hawana, tunaweza kujenga taifa lenye AMANI, taifa tulivu na lenye upendo. Tunaweza kuwashinda kwa Nguvu ya AMANI. lazima kuchagua mfumo wa MAISHA YA KUJITOFAUTIOSHA na mataifa haya, mtindo tulio nao unatupeleka kutenda kama wao walivyotenda miongo mingi iliyopita NA KUSHINDWA. lazima tubadilike

Bye Nelson

CCA

Ndugu bwana Injinia! Kwani ninyi ''mainjinia'' wa kiafrika ni nani aliyewazuia kufanya wanavyofanya mataifa makubwa? Si mmesoma mpaka hamtaki kuandika majina yenu bila kutanguliza neno ''injinia'' mbele ya jina? Kinachowashinda ni nini mnabadi kulalama lalama? Au mnafikiri usomi ni kutanguliza neno ''injinia'' kwenye majina yenu!!!
 
Wanaowazuia hao mainjinia ni wanasiasa na watu wanaokumbatia siasa na kusahau utaalam. Duniani kote, hata ukiwa na wataalam lukuki na ukakosa siasa bora hautayaona maendeleo.
 
tatizo la wabongo ni bla bla siasa kwa sana kuliko kuwapa nafasi wataalamu watupe maujuzi
 
Leo ni kivumbi na jasho. Sijui Injinia naye inamwia ngumu kufafanua au wengi wetu elimu hii ni jiwe?!!! Daaah!
 
Ndugu bwana Injinia! Kwani ninyi ''mainjinia'' wa kiafrika ni nani aliyewazuia kufanya wanavyofanya mataifa makubwa? Si mmesoma mpaka hamtaki kuandika majina yenu bila kutanguliza neno ''injinia'' mbele ya jina? Kinachowashinda ni nini mnabadi kulalama lalama? Au mnafikiri usomi ni kutanguliza neno ''injinia'' kwenye majina yenu!!!
Siasa za tanzania zinabana engineers kufanya maajabu.
 
Watu wanaulizia Dyne-Hydrous Camera System (DHCS) ni kitu gani.. Labda niseme DHCS NI zaidi ya Closed Circuit TeleVision (CCTV) ingawa utendaji Wa kimfumo (Logic) ni Kama Hizi Security Camera.lakini pia DHCS ni zaidi ya Astronomy setelittes , navigation setellites, radar settelites,Remote sensing setellite Na Security setiellites Za aina zote Kwa mifumo Yao ya Visual and audio signol. Setellite zote husimama Kwenye mihimili yake(specified Orbital).

Kazi ya kupata taarifa Kwa mfumo Wa satellite unakuwa mgumu Na too analogy(ingawa wenyewe wanachukia sana ukisema mifumo Yao ni ya kianalogia-ulimwengu Wa sayansi ni tofauti Na ulimwengu wa kawaida. Vile huku uraiani tunavyoviita vya kidijitali sayansi iliyoendelea inavipambanua tofauti kabisa. Huwezi kukiita kitu Cha dijitali wakati kiko katika unit-direction, kinaonyesha upande mmoja Kwa wakati mmoja.)

Taarifa Za Satelait hukimbia kutoka stesheni moja ya chini Hadi ya juu Na kurudi tena. Satellite Ni mawazo ya watu walioko Chini kuchunguza point zifuatazo.. Lakini DHCS HUFANYA Kazi zote mbili. kumwambia Mtu aliyeko ardhini Nini kinatokea wapi Kama processor zake zilivyojengwa Na pia kupokea maelekezo ya Nini Cha Kufanya Na wapi. DHCS hazitegemei Orbit zinategea Earth Gravity Na Zina uwezo wa Kufanya position dislocation vyovyote Na popote.

Baadhi ya watu wangependa kupata maelezo ya Kina Na hata Picha but elewa hiki ndicho Kwa Sasa kinaendelea Na Bado hakijawa wazi Kwenye ulimwengu wa Tatu. I mean what we kept reading Kwenye Internet , google etc ni garbages au waste products Za first security world.
 
Mkuu kwanza utujuze tena kwa uzuri hii dhcs ni nini halafu utuambie ufo unayozungumzia ni hii hii tunayoijua au? Mi najua ufo ni kifupi cha unidentified flying objects, sijui kama ni silaa au kitu kama hicho. Tupe somo

Nafafanua kidogo ili sote wachangiaji tuweze kushiriki kwa ufasaha zaidi.

An unidentified flying object, or UFO, in its most general definition, is any apparent anomaly in the sky (or near or on the ground, but observed hovering, landing, or departing into the sky) that is not readily identifiable as any known object or phenomenon by visual observation and/or use of associated instrumentation such as radar. These anomalies were referred to popularly as "flying saucers" or "flying discs" during the late 1940s and early 1950s.
The term "UFO" (or "UFOB") was officially created in 1953 by the United States Air Force (USAF) to replace the more popular terms because of the variety of shapes described other than "discs" or "saucers." It was stated that a "UFOB" was "any airborne object which by performance, aerodynamic characteristics, or unusual features, does not conform to any presently known aircraft or missile type, or which cannot be positively identified as a familiar object." As originally defined, the term was restricted to those fraction of cases which remained unidentified after investigation, with USAF interest being for potential national security reasons and/or "technical aspects." (See Air Force Regulation 200-2.) The term UFO became more widespread during the 1950s, at first in professional literature, but later in popular use. UFOs garnered considerable interest during the Cold War, an era associated with a heightened concern for national security.
Various studies have concluded that the phenomenon does not represent a threat to national security nor does it contain anything worthy of scientific pursuit (e.g., 1953 CIA Robertson Panel, USAF Project Blue Book, Condon Committee). Culturally, the phenomenon has often been associated withextraterrestrial life or government-related conspiracy theories, and has become a popular theme in fiction.

Mimi niambie maana ya DHCS mengine nimeelewa kwa tabu kidogo
 
Back
Top Bottom