Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

kwa hiyo hii ni fact au proof? articles zenye mistari kama hiyo zimejaa kila kona,hasa fiction books hazinogi bila kuchomekewa those ghosts and allien myth.

mkuu ziko nyingi sawa.ila hii niliyo weka hapa umeisoma?
 
kwa hiyo hii ni fact au proof? articles zenye mistari kama hiyo zimejaa kila kona,hasa fiction books hazinogi bila kuchomekewa those ghosts and allien myth.

ghosts=aliens=spirits=mapepo na majini..period.
 
Huwa sielewi ni kwa vipi ni rahisi watu kuamini dunia kushikiliwa na "mhimili" lakini ikawa ngumu kwao kuamini kwamba there is supernatural power behind creation.Huwa sielewi ni kwa vipi wengi wetu tunaamini consensus scientific beliefs kwamba there is a gravitational force kwa vile tu tunaona effect zake lakini watu hao hao hatuamini consensus religious beliefs kwamba kuna viumbe in another dimension superior to us vyenye effect katika maisha yetu ya kila siku.Mie siku hizi situmii nguvu nyingi kuelezea mambo haya kwa sababu najua nini kinakuja mbele.Labda tunapishana life exposures!Let us wait and see!I hope it will never be late for some of us!!
 
i concur you mkuu juve2012.after reading the article,i have realized the world we're living in has full of secret activities behind doors.tunayo yaona au kusikia is purely fake.siri nyingi na za kutisha zinajulikana kwa watu wachache sana.acha tuu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Aliens wapo na kuna new evidence ina suggest walikuwepo zamani

Series ya "ancient aliens" inaelezea hiyo dhana kwa ufasaha zaidi

On the modern front first encounter ya extrasterestrial beings ilikuwa "Roswell crash" New Mexico marekani

Majestic 12 na Area 51 ndo zikawa established kwa executive order ya rais Truman

Hii kitu ni siri sana watu wa juu ndani ya inteliigence services za marekani na ulaya ndo wanajua

Kuna kipindi flani Bill Clinton alikataliwa flatly na pentagon kuambiwa kuhus haya maambo ya aliens. Ni need to know basis

Ndani ya NATO watu wenye "cosmic top secret" security clearance ndo wanajua hizi covert operations
 
mkuu inasemekana hao aliens wana offer technology ya hali ya juu sana kwa taasisi za kijeshi za US government.labda ndio sababu wa-US wanajiamini sana kijeshi na kujiona world number one super power nation.
 
Kama sayari moja iitwayo dunia inaviumbe vya aina mbali mbali na sayari zipo nyingi tukijumlisha na galaxies zingine tofauti na ya kwetu. Je kutakuwa na form of life in other planets too apart from being quite different from that of earth/ours or the same.?

Mungu ameumba viumbe vinavyoonekana na visivyo onekana na vitabu vitakatifu vinaonesha hivyo viumbe haviko tu hapa, vingine viko ardhini na vingine vipo angani kama angels, demons etc Kwanini sasa tusijiulize swari rahisi tu ya kwamba je ''Hakuna uwezekano wa hizo sayari zingine kuwa na viumbe ambavyo sisi binaadamu hatuvioni kwa macho yetu ya kawaida? Yaani ni makazi ya viumbe vingine?
 
Nimetafakari sana swali lako. You must be very intelligent! Ni kweli mkuu. I wapo hapa duniani tu kuna viumbe visivyoonekana (hili hata wana-science wananaliafiki) inawezekana kabisa katika sayari nyingine vipo viumbe vingine vya aina nyingi tu ambavyo hata wana-science hawajavigundua bado. Lakini ukiwauliza kwa harakaharaka tu wanakujibu kwamba hakuna viumbe hai katika sayari nyingine. Sasa kama hapa duniani tu wanasema vipo viumbe visivyoonekana, itakuwaje katika sayari nyingine?
 
Nimetafakari sana swali lako. You must be very intelligent! Ni kweli mkuu. I wapo hapa duniani tu kuna viumbe visivyoonekana (hili hata wana-science wananalikubali) inawezekana kabisa katika sayari nyingine vipo viumbe vingine vya aina nyingi tu ambavyo hata wana-science hawajavigundua bado.

Asante mkuu kama nawe umetafakari na kuligundua hilo. Wacha tuone wengine wana maoni au mawazo gani juu ya hilo.
Nawakaribisha
 
[h=1]Mysteries of the Unseen World[/h] from Perot Museum PRO 4 months ago Not Yet Rated

November 1, 2013-May 23, 2014 at the Perot Museum of Nature and Science:
What you can't see is all around you! Mysteries of the Unseen World will take audiences to places on this planet that they have never been before, to see things that are beyond their normal vision, yet literally right in front of their eyes. High-speed and time-lapse photography, electron microscopy, and nanotechnology are just a few of the advancements in science that now allow us to see a whole new universe of things, events, creatures, and processes we never even knew existed and now give us new "super powers" to see beyond what is in front of us. Visually stunning and rooted in cutting-edge research, Mysteries of the Unseen World will leave audiences in complete thrall as they begin to understand the enormity of the world they can't see, a world that exists in the air they breath, on their own bodies, and in all of the events that occur around them minute-by-minute, and nanosecond-by-nanosecond. And with this understanding comes a new appreciation of the wonder and possibilities of science.
 
Thread hii ni ya kisomi lakini kwa bahati mbaya haitakuwa na wachangiaji wengi kwa kuwa upeo wa watanzania wengi wa kuchambua mambo unaishia kwenye siasa za CCM na CDM basi. Ukiwaletea mambo kama haya, wengi wao elimu yao ni ya kata, hawana mchango wowote wa maana! Wanaishia kutukanana tu!
 
Haha mkuu Haji Salumu ni sawa usemalo lakini itakuwa si vibaya kama watakaa na kujifunza kutoka kwetu tunaojaribu kufikiri hili jambo kwa elimu tulizonazo twaweza kuwafikisha mahali nao wakaelewa.
 
lazima kutakuwa na viumbe wengine ambao wapo sayar nyingine, sisi tunaishi kutokana na hali tulionayo hapa duniani na viumbe vingine itakuwa vinaishi kutokana na mazingira yao, hata ile dhana ya Aliens nina uhakika hivi viumbe vipo
 
tena hao viumbe ndio wameiteka ndege ya Malaysia hao

Hahaha mzaramo umenifanya nicheke sana. Kuna thread ilianzishagwa jukwaa la intelligence ilikuwa inasema '' Alliens will attack the earth very soon'' sijui iliishia wapi ile. Au ndo wameshaanza nini lol!
 
Nimewahi kusikia waislamu wakizungumzia hili jambo Ila sikupay Antetion coz nilikua tyt... Ni kama katika vitabu vyao vitakatifu wanazungua hili jambo.... Kwa anayejua plz.... With reliable sources....
 
Fyddell swali lako limenifanya niwaze mengi,
kuna watu katika imani huwa wanasema wameombewa na kukombolewa kutoka kuzimu,
ukiwauliza habari ya huko anasimulia maisha ya kule kuna viwanda majengo na maisha mazuri sana,
bado najiuliza kama ni kweli huko kuzimu ni sehemu ya dunia ama nako ni sayari nyingine yenye maisha mengine kama ya kwetu?au tofauti na ya kwetu..
Je ni kweli wanasayansi wamefanikiwa kuzifahamu sayari zote na viumbe vilivyomo pamoja na maisha yao!?
fyddell hata mie nna maswali juu ya hili na sijui majibu nitapataje
 
Last edited by a moderator:
NASA hivi karibuni walitoa habari ya ugunduzi wa kugundulika sayari zingine 715 all are in equall size with earth karibu na solar system yetu. Na katika hizo 4 ni habitable due to the presence of not too hot or too cold for the fluid which support the life to exist. Kuna uwezekano hizo sayari pia kukawa na viumbe vinaishi huko katika mfumo unaosapoti mazingira ya huko huko. According to NASA scientist those planets are far away and it take light years to reach them
 
Viumbe visivyoonekana duniani vipo na dini zote wanakiri hivyo na ndio maana makanisani watu wanaombewa mapepo yatoke na yanatoka je ni nani aliewahi kuyaona mapepo hata kwa darubini?
 
Back
Top Bottom