Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Mh kiongozi! Story ya lusifa huijui alikuwa malaika mbinguni wa sifa aliongoza nyimbo za kumsifu muumba . Sasa kwa nini unafikiri ibilisi shetani anaitwa fallen angel? Au malaika muasi? Labda nikuulize shetani alitoka wapi?

Hahahahahaaa! Nadhani haujaelewa tatizo liko wapi!
...
Sisi tumefundishwa vengine nanyi mmefundishwa vengine kwenye issue hiyo hiyo moja!
Hatuwezi kuafikiana hapa, tupaache!
 
Hahahahahaaa! Nadhani haujaelewa tatizo liko wapi!
...
Sisi tumefundishwa vengine nanyi mmefundishwa vengine kwenye issue hiyo hiyo moja!
Hatuwezi kuafikiana hapa, tupaache!

Ahaa kumbe tatizo ndilo hilo.sawa tupaache hapo ila kufundishwa kitu hamaanishi kuwa huwezi kupokea kipya au cha tofauti ukijiridhisha kuwa hicho kipya kina mantik.anyway turudi ktk mada kuu naamini kuwa wapo viumbe wengine katika sayari zingine wenye namna yao ya kuishi na maumbo yao
 
Mimi naendelea kusema kwa vile wanasayansi kutoka duniani hawajapiga kambi ya kutosha kuzisoma sayari hizi kwa mapana na marefu kwa ukubwa wa hizo sayari Hatuwezi kusema hakuna viumbe huko.lidunia lilivyo kubwa halafu itue dar peke yake useme umeisoma dunia haitaleta maana.
 
Naamini kama mwanadamu ataamua kutafuta uwepo wa viumbe wengine ktk sayari zingine hatawakosa.
 
Ahaa kumbe tatizo ndilo hilo.sawa tupaache hapo ila kufundishwa kitu hamaanishi kuwa huwezi kupokea kipya au cha tofauti ukijiridhisha kuwa hicho kipya kina mantik.anyway turudi ktk mada kuu naamini kuwa wapo viumbe wengine katika sayari zingine wenye namna yao ya kuishi na maumbo yao

Hahahahahahaaaa!
Ok nimekusouma!
...
Uwepo wa viumbe wengine ktk sayari nyengine unanipa maswali magumu sana!

Wanasema alliens ni viumbe wenye upeo mkubwa wa kufikiri = wanaakili mingi kuliko binadamu! Hii napinga coz maandiko yanasema binadamu ni kiumbe bora kuliko viumbe wote!
...
What do you think?
 
Mh kiongozi! Story ya lusifa huijui alikuwa malaika mbinguni wa sifa aliongoza nyimbo za kumsifu muumba . Sasa kwa nini unafikiri ibilisi shetani anaitwa fallen angel? Au malaika muasi? Labda nikuulize shetani alitoka wapi?

Ezekiel 28:12 na kuendelea.
Isaya 14 yote. Lucifer's story as a fallen angel.
 
Swali ni zuri tena la kufikirisha. Je inawezekana UNDEFINED FLYING OBJECTS (UFO) na ALIENS ni miongoni mwa viumbe hao toka 'dunia' nyingine?
ufo_2387810b.jpg
 
Swali ni zuri tena la kufikirisha. Je inawezekana UNDEFINED FLYING OBJECTS (UFO) na ALIENS ni miongoni mwa viumbe hao toka 'dunia' nyingine?

Mkuu bullet. Uwepo wa UFO wanasayansi wameshindwa kujua hivyo vyombo vinaongozwa na viumbe vya aina gani. Na hapo hapo inathibitika kwamba hivyo vyombo havitokei hapa bali vinatokea katika sayari zingine vikiongozwa na viumbe tusivyovijua. Hii inathibitisha kuwa kuna maisha ya aina nyingine tofauti na maisha haya ambayo sisi human beings tunayaishi katika sayari zingine.
Uwepo wa Alliens bado ni conspiracy. Wapo wanaoamini wapo na wapo wanaoamini hawapo. Ila tukifuata ushahidi wa vitabu vitakatifu hatunabudi kujua kuwa kuna viumbe vya aina nyingine mahali kwengine.
 
TRUTH
Genesis 1:1-26

King James Version (KJV)

1 In the beginning God created the heaven and the earth.
2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters.
3 And God said, Let there be light: and there was light.
4 And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness.
5 And God called the light Day, and the darkness he called Night. And the evening and the morning were the first day.
6 And God said, Let there be a firmament in the midst of the waters, and let it divide the waters from the waters.
7 And God made the firmament, and divided the waters which were under the firmament from the waters which were above the firmament: and it was so.
8 And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day.
9 And God said, Let the waters under the heaven be gathered together unto one place, and let the dry land appear: and it was so.
10 And God called the dry land Earth; and the gathering together of the waters called he Seas: and God saw that it was good.
11 And God said, Let the earth bring forth grass, the herb yielding seed, and the fruit tree yielding fruit after his kind, whose seed is in itself, upon the earth: and it was so.
12 And the earth brought forth grass, and herb yielding seed after his kind, and the tree yielding fruit, whose seed was in itself, after his kind: and God saw that it was good.
13 And the evening and the morning were the third day.
14 And God said, Let there be lights in the firmament of the heaven to divide the day from the night; and let them be for signs, and for seasons, and for days, and years:
15 And let them be for lights in the firmament of the heaven to give light upon the earth: and it was so.
16 And God made two great lights; the greater light to rule the day, and the lesser light to rule the night: he made the stars also.
17 And God set them in the firmament of the heaven to give light upon the earth,
18 And to rule over the day and over the night, and to divide the light from the darkness: and God saw that it was good.
19 And the evening and the morning were the fourth day.
20 And God said, Let the waters bring forth abundantly the moving creature that hath life, and fowl that may fly above the earth in the open firmament of heaven.
21 And God created great whales, and every living creature that moveth, which the waters brought forth abundantly, after their kind, and every winged fowl after his kind: and God saw that it was good.
22 And God blessed them, saying, Be fruitful, and multiply, and fill the waters in the seas, and let fowl multiply in the earth.
23 And the evening and the morning were the fifth day.
24 And God said, Let the earth bring forth the living creature after his kind, cattle, and creeping thing, and beast of the earth after his kind: and it was so.
25 And God made the beast of the earth after his kind, and cattle after their kind, and every thing that creepeth upon the earth after his kind: and God saw that it was good.
26 And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

God created in that proper sequence

mi nafikiri tukiweza kupata clear definition ya earth and heaven itatusaidia kuelewa kwa undani contents zilizomo kwenye hivyo vitu viwili..mwenye clear definition ya dunia na peponi atujuze..based on spiritual and science.
 
Mkuu bullet. Uwepo wa UFO wanasayansi wameshindwa kujua hivyo vyombo vinaongozwa na viumbe vya aina gani. Na hapo hapo inathibitika kwamba hivyo vyombo havitokei hapa bali vinatokea katika sayari zingine vikiongozwa na viumbe tusivyovijua. Hii inathibitisha kuwa kuna maisha ya aina nyingine tofauti na maisha haya ambayo sisi human beings tunayaishi katika sayari zingine.
Uwepo wa Alliens bado ni conspiracy. Wapo wanaoamini wapo na wapo wanaoamini hawapo. Ila tukifuata ushahidi wa vitabu vitakatifu hatunabudi kujua kuwa kuna viumbe vya aina nyingine mahali kwengine.

Mkuu aksante kwa maelezo yako mazuri.
Kuhusu aliens, as per bible's explanations inawezekana ndio watu waliokuwa kizazi cha malaika na wana wa nchi nafikiri wanaitwa 'Wanefilli' kama kumbukumbu yangu iko sawa.
 
KA MCHANGO KANGU;:sisi binadam wa dunia tunakosea,mfano kwanini wanasayansi watumie assumption kama za uwepo wa maji na nyingine ili kutafiti uwepo wa viumbe wengine sayari nyingine?kwanini tulazimishe sayari nyingine ziwe kama dunia?je,haiwezekani kukawa na viumbe wengine huko ambao wanaishi kwenye joto kali pekee na wakija duniani wanaweza kufa kutoka na hali ya hewa ya huku?NAAMINI KUNA VIUMBE WENGINE NA HILI KUWAGUNGUA HATUWEZI KUTUMIA TOOLS AMBAO ZINAWAONA BINADAMU KUWAONA HAWA VIUMBE,WANASAYANSI WANAPASWA KUTAFUTA KWANZA FORM YA HAO VIUMBE KABLA YA KUTAKA KUWAONA,NADHANI WATAHITAJI MITAMBO TOFAUTI NA TULIYOZOEA ILI KUWAONA
 
Nimetafakari sana swali lako. You must be very intelligent! Ni kweli mkuu. I wapo hapa duniani tu kuna viumbe visivyoonekana (hili hata wana-science wananaliafiki) inawezekana kabisa katika sayari nyingine vipo viumbe vingine vya aina nyingi tu ambavyo hata wana-science hawajavigundua bado. Lakini ukiwauliza kwa harakaharaka tu wanakujibu kwamba hakuna viumbe hai katika sayari nyingine. Sasa kama hapa duniani tu wanasema vipo viumbe visivyoonekana, itakuwaje katika sayari nyingine?

Hapana. Wasayansi hawajawahi kusema kuwa hakuna viumbe hai sehemu nyingine , wanachosema ni kwamba hawajui kama vipo, ila hawakanushi. Ingekuwa hivyo missions za Curosity Rover pamoja na New Hozon zisingefanyika. Nia yao kubwa ni kuwa wanataka kujua je, tuko peke yetu au kuna viumbe wengine pia? The fact kwamba mpaka leo hawajaweza kuthibitisha hilo haimaanishi kwamba wameshafanya ruling na kusema hakuna sayari nyigine tofauti na yetu hii iliyo na viumbe hai
 
Genesis 6. Mwanzo 6
1 When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, 2 the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. 3 Then the LORD said, "My Spirit will not contend with man forever, for he is mortal; his days will be a hundred and twenty years." 4 The Nephilim were on the earth in those days--and also afterward--when the sons of God went to the daughters of men and had children by them. They were the heroes of old, men of renown.

Hawa hwakuwa binadamu wa kawida kama tulivyo sisi "sons of God"
 
Ktk biblia kuna majina ya malaika kama Michael, gabriel nk majina haya ni ya kiume ila nachelea kusema kuwa si lazima Gabriel au Michael kuwa mwanaume au mwanamke. Ila najua malaika walizini na wanadamu na mungu hakupendezwa na kitendo hicho. Hii ni uthibitisho kuwa malaika wapo wanaume na wanawake

Biblia ktk Agano la Kale inawatambua watoto wa Kiume kama wana wa Mungu, kama ilivyokuwa Hema Agano la Kale na kuitwa Hekalu Agano jipya. Malaika si wanadamu Mkuu.
 
Wanasema alliens ni viumbe wenye upeo mkubwa wa kufikiri = wanaakili mingi kuliko binadamu! Hii napinga coz maandiko yanasema binadamu ni kiumbe bora kuliko viumbe wote!
...
What do you think?

Ni kiumbe bora katika nyanja ipi? Ikiwa tunaambiwa majini wana uwezo mkubwa hata wa kusoma mawazo ya watu, wanaweza kujigeuza chochote watakacho, wanaweza kupotea na kutokea kwa kadri wajisikiavyo. Haya angekuwa nayo binadamu na hao viumbe wasingekuwa navyo ningekubali kuwa binadamu ni kiumbe bora kuliko vyote
 
Mkuu bullet. Uwepo wa UFO wanasayansi wameshindwa kujua hivyo vyombo vinaongozwa na viumbe vya aina gani. Na hapo hapo inathibitika kwamba hivyo vyombo havitokei hapa bali vinatokea katika sayari zingine vikiongozwa na viumbe tusivyovijua. Hii inathibitisha kuwa kuna maisha ya aina nyingine tofauti na maisha haya ambayo sisi human beings tunayaishi katika sayari zingine.
Uwepo wa Alliens bado ni conspiracy. Wapo wanaoamini wapo na wapo wanaoamini hawapo. Ila tukifuata ushahidi wa vitabu vitakatifu hatunabudi kujua kuwa kuna viumbe vya aina nyingine mahali kwengine.

Mkuu uwepo wa alliens wanasayansi wanajua sana ila umekuwa ikifichwa sana kuwa eti these are conspiracy theories. Na zipo sehemu duniani zimewekwa kambi ya kuchunguza viumbe hawa marekani wanayo moja wanaiita military camp restricted area. Lakini ukweli ni kwamba ni maabara iliyotengenezwa kuwastadi ufos na walishampata baby allien yupo humo ndani na pengine wameshawapata wengi su kujus mengi
 
Back
Top Bottom