walinukuu kutoka vifungu vipi?
Biblia ktk Agano la Kale inawatambua watoto wa Kiume kama wana wa Mungu, kama ilivyokuwa Hema Agano la Kale na kuitwa Hekalu Agano jipya. Malaika si wanadamu Mkuu.
Ni kiumbe bora katika nyanja ipi? Ikiwa tunaambiwa majini wana uwezo mkubwa hata wa kusoma mawazo ya watu, wanaweza kujigeuza chochote watakacho, wanaweza kupotea na kutokea kwa kadri wajisikiavyo. Haya angekuwa nayo binadamu na hao viumbe wasingekuwa navyo ningekubali kuwa binadamu ni kiumbe bora kuliko vyote
Hahahahahaaaa! Hata hivyo bado binadamu ni bora kuliko jini! Majini na uwezo wote huo, unakuta majini zaidi ya watano wanatumwa na kufuata masharti ya binadamu mmoja tu!!!
Binadamu ni controler!
Bado hujaonesha kwa nini binadamu ni bora kuliko viumbe wengine ubora wa mwanadamu unaousema ni upi? Mimi nimekuonesha kwa nini namuona binadamu si kiumbe bora kushinda viumbe wengine kama utashi na akili na ufahamu juu ya mambo mbalimbali basi majini pia wanavyo sasa ubora wetu kuwapita wengine ni nini?
Nimetafakari sana swali lako. You must be very intelligent! Ni kweli mkuu. I wapo hapa duniani tu kuna viumbe visivyoonekana (hili hata wana-science wananaliafiki) inawezekana kabisa katika sayari nyingine vipo viumbe vingine vya aina nyingi tu ambavyo hata wana-science hawajavigundua bado. Lakini ukiwauliza kwa harakaharaka tu wanakujibu kwamba hakuna viumbe hai katika sayari nyingine. Sasa kama hapa duniani tu wanasema vipo viumbe visivyoonekana, itakuwaje katika sayari nyingine?
Binadamu ni bora kuliko viumbe vyote kutokana na mambo mengi tu, wacha nioredheshe machache unaweza ukaelewa:
1 Nguvu za uvumbuzi!
2 Ngugu za kumiliki viumbe wengine!
3 Ubora kiumbo!
4 .... n.k nk!
...
Just jiulize, majini na binadamu wameumbwa ili wamuabudu Mungu! Kwanini hakuna Mtume/Nabii ambaye ni Jini?
Inasemekana ktk imani yakikristo kuwa kuna malaika walitembea na wanawake wa duniani na kutoa watoto nusu binadamu nusu malaika walikuwa magiants ktk gharika la nuhu mungu aliangamiza kizazi hiki kwani hakukupa mpango wa mungu kilianza kuvuruga amani ya wanadamu walioishi nao wakati huo.lakini viumbe hawa(nephelim) ktk biblia wanaitwa wanefili hawakufa walikwenda kuishi sayari zingine .hivyo yawezekana ndio hao wanaosadikika kuwa aliens
walinukuu kutoka vifungu vipi?
Inasemekana ktk imani yakikristo kuwa kuna malaika walitembea na wanawake wa duniani na kutoa watoto nusu binadamu nusu malaika walikuwa magiants ktk gharika la nuhu mungu aliangamiza kizazi hiki kwani hakukupa mpango wa mungu kilianza kuvuruga amani ya wanadamu walioishi nao wakati huo.lakini viumbe hawa(nephelim) ktk biblia wanaitwa wanefili hawakufa walikwenda kuishi sayari zingine .hivyo yawezekana ndio hao wanaosadikika kuwa aliens
mkuu kama nimekuelewa unataka kugusia UFOs na Alliens, mkuu hizi ni Hadithi, hazina uhalisia wowote, nimefuatilia sana hizi ishu, ni kama aina fulani za Conspiracy theory tu.Kama sayari moja iitwayo dunia inaviumbe vya aina mbali mbali na sayari zipo nyingi tukijumlisha na galaxies zingine tofauti na ya kwetu. Je kutakuwa na form of life in other planets too apart from being quite different from that of earth/ours or the same.?
Mungu ameumba viumbe vinavyoonekana na visivyo onekana na vitabu vitakatifu vinaonesha hivyo viumbe haviko tu hapa, vingine viko ardhini na vingine vipo angani kama angels, demons etc Kwanini sasa tusijiulize swari rahisi tu ya kwamba je ''Hakuna uwezekano wa hizo sayari zingine kuwa na viumbe ambavyo sisi binaadamu hatuvioni kwa macho yetu ya kawaida? Yaani ni makazi ya viumbe vingine?
hapa ndipo napokubaliana na mh: Kiranga kuwa hakuna mungu.
Iweje mungu mkuu na mwenye nguvu zote ashindwe kuwaangamiza wanefili?
Hakika mungu huyu ni wa kusadikika.