Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?


Pia atafute movie inaitwa comet impact au deep impact,halafu aingie google asome vitu vinaitwa mass extinction events,apitie cretaceous-tertiary(K-T) extinction,acheki chicxulub crater,aende kwenye evidence of impact,aingie kwenye effect of impact,halafu hapo kwenye effect asome taratibu kwa umakini mkubwa,mlolongo wa utokeaji na aftermath za hiyo event,halafu kama anapenda zaidi aende akasome biblia,ufunuo sura ya 8,aoanishe hizo effects na mlolongo wa event inayozungumzwa ufunuo sura ya 8.Akipenda lakini,otherwise haya ya biblia tuachie tunaopenda kuunganisha dots za kila angle,movies,sayansi,historia,dini,tamaduni,just everything.Atagundua what's going on in the Hollywood.
 
Mkuu mgalanjuka umegusia jambo fulani humu ambalo linanilazimisha kugusia mambo ya ule uzi mwingine humu.Unasema hawa alliens wanadai kuwa hizi sayari zetu hufikwa na extinction events na hivyo wanahama toka sayari moja kwenda nyingine.Ukitazama historia ya dunia yetu scientifically,especially geologic,utaona kuwa imepitia hizo mass extinction events,na kila baada ya event,kulitokea mazingira mapya na viumbe wapya wakamiliki dunia,na wengi wa wale wa zamani wakaangamia na hizo events.
Ukiunga dot ya claims za hao viumbe na scientific facts za historia ya dunia since Hadean eon,does it mean there is an extinction event ahead which is the end of this human civilization?
Add this as ice on cake,cultural and religious tales zinazungumzia kipindi fulani in future ambacho socially,jamii zetu zitapambana kudumisha ustaarabu mmoja kwa wote,resulting in internal wars and worldwide conflicts,majanga ya asili yatatokea na hayo yote kwa pamoja yatakuwa ni dalili za mwisho wa dunia.Does this mwisho wa dunia mean the end of this civilization and the start of another one(another era )?haya niachie mwenyewe mkuu,we jibu hayo ya kisayansi hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni ndoto za makafiri tuu.kitu kama hakija andikwa ndani ya holy Qoraan ni uwongo ulio kithiri mwenyezi mungu kazungumza ndani ya surat'l Bakara kuhusu viumbe vyote alivyoviumba sasa hili suala la Ufo sijui limetokea wapi mimi naamini ni hawa makafiri wasiokuwa na dini ndio wanaokuja na hizi concepts za aina hii.Hakuna viumbe vingine ila wanadamu,majini na pia wanyama na malaika hapa duniani story za kutisha watu punguzeni.Nimetumia neno makafir sina maana waumini wengine dhidi ya waislam bali ni wale mapagani wasio amini kitu ndio wanapenda kuja na story za namna hii.M/Mpamba.End.
 

Mkuu mimi nafikiri masuala ya dini yasijadiliwe hapa.Tujadili fact zilizo kwenye uzi ili tupate kuelimika zaidi na kukuza uelewa wa mambo haya. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
 


Hivi mkuu katika hizo class,nasisi tuta advance to the next class?,na je mtu akifa ndo anahamia kwenye class nyingine?.
 

mbona nyinyi mapoyoyo mnaamini ktk majini?.hudhani kuwa hata majini mnayo yaamini ni aina mojawapo ya aliens?.shughulisha ubongo wako acha upoyoyo.
 
Hata vyenyewe vinatushangaa ndio maana majin yanajaribu kuishi dunian ofcoz yes mawazo yanatoka hewan
 
Sawa unavyosema but Mungu katuandikia yale yanayo tuhusu tu. Jaribu kufikiria kwanini haijaandikwa habari za galaxy na uumbaji viumbe vya kufikirika. Fikiri nje ya Qoraan.. utaelewa yanayo zungumzwa hapa.
 
Hii class 5 nazani ni majini mkuu au you're talking about angels I guess.
 
mbona nyinyi mapoyoyo mnaamini ktk majini?.hudhani kuwa hata majini mnayo yaamini ni aina mojawapo ya aliens?.shughulisha ubongo wako acha upoyoyo.
Achana naye, hâta maandiko anayoyafuata wala hayaelewi. Hawezi hâta kutafsiri, nyakati na utamaduni ambapo maandiko hayo yaliandikwa unategemea ataweza kutafsiri dunia ya kisayansi?
 
Monstgala
i'm in awe after i read about class 5 aliens.is it ok to ussume that they're the fallen angels (majini-sifahamu neno sahihi la majini kwa kizungu) as mentioned in the bible?.

if they do not a possess a parmenent physical body,that means class 5 aliens are the spirit that revolve around the univere,they can transform into air or human beings.that being said,a question comes,kati yetu sisi binadamu,kuna binadamu wenye chembe chembe za kigenetic toka kwa class 5 aliens?.

www.aliens-everything-you-want-to-know.com/DifferentTypesofAlienBeings.html
 
Last edited by a moderator:
kama class 5 ina knowledge yote ya universe what if hawa malaika na majini pengine na Mungu wote ni Aliens!!

what if kweli na ndo walihusika kutengeneza bible na quran kwa ajili ya kumantain order maana wanaweza kuwa ni class 5 wanatoka jamii tofauti:cool2::cool2:

what if ni namna ya watu wanaopinga uwepo wa Mungu wanazidi kutengeneza myth ili kuthibitisha kuwa hakuna Mungu ila nia alien ndo waauwezo!!!.

mkuu Monstgala nissaidie sehem

inaaminika kuna baadhi ya hao alien wamekamatwa na wapo huko marekan kuna maandiko wamesema zaid kuwa wanajaribu ku extract tech yao na kuunda vitu vyenye uwezo mkubwa zaid

pia wameeleza kuwa kwa kipindi chote cha maendeleo ya maisha ya mwanadam kwa sasa ndo wameanza kufanikiwa...mfano wanazungumzia kitu kama tv..kwa miaka ya nyuma tv ilikuwa lazima iwe kubwa kwa ulazima ili nyaya na vifaa vingine viweze kufungwa kwenye set ya tv....ila kwa sasa transistor moja inauwezo wa kuwa na njia zaid ya mia na kufanya kazi zaid na kuwa na ufanisi mkubwa!!!...hiyo tec hatukuwa nayo b4 na pengine ingechukua muda mrefu saana kwa uwezo wa mwadam kutengeza kitu kma icho ila ni tech ya alien ambayo tume adopt na kuiendeleza.kuna ukweli gan hapo??

source tv documentary inaitwa hangar 1
link
Watch Hangar 1 The UFO Files online (TV Show) - on PrimeWire | LetMeWatchThis | Formerly 1Channel
 
Last edited by a moderator:

Ushawahi kujiuliza kivipi waislamu, wakristo, wahindu, mabudha, na wenye dini nyinginezo huwa karibia wote wanafanya swala au maombi na hujibiwa maombi yao.....? je, kipi cha kuamini ni sahihi? ukiweza kujbu hili basi utaweza kupambanua zaidi kuhusu thread hii
 
Mimi siamini kama ni kweli wote hujibiwa maombi yao lakini atakayejibiwa kwanza ni yule anayemuamini m/mungu wa kweli huyo naweza kukubaliana nawewe kweli sala ,dua na maombi yake hujibiwa bila shaka yeyote ile na anayemuamini,lakini sio kiushirikina huo ni ukafiri uliokithiri na ni kujidanganya tuu.Nafikiri nimekujibu swali lako kwa uwezo wangu .M/Mpamba.
 

Mkuu, je kwenye Quran wameongelea kuhusu viumbe kama dinasaurs?
Maana huwezi pinga uwepo wake kwasababu mabaki yao yamegunduliwa hata mwaka huu kuna mabaki ya dinasaurs yamegunduliwa hapa hapa tanzania.
Kama hawajazungumzia basi bila shaka hata hau ufos kuna uwezekano mkubwa pia wapo
 
Ndugu mimi sina uhakika kuhusu Dinasaour kama nao wamo ndani ya Quran ila ninachokijua mimi kuna viumbe wamezungumziwa ambao wanaitwa Juja wa majuja hawa viumbe according to Qoraan walikuwa ni wakubwa sana na inasemekana walikuwa wanakula kila kitu na baadaye m/mungu aliwaondoa duniani ,lakini ndani ya Qoraan hawajazungumziwa walikuwa ni viumbe wa namna gani hicho ni kitendawili kwetu nafikiri hapa kuna mwenye hiyo habari atueleze jinsi m/mungu alivyowazungumzia hao Juja wa Majuja jinsi umbile lao lilivyokuwa inawezekana ndio hawa Dinoursauers waliohilikishwa na mwenyezi mungu tena imeelezwa kwamba ipo siku watarudi tena duniani lakini hili la UFO halimo ndani ya kitabu alichotuteremshia m/mungu ni kitu cha kutungwa na kubuniwa na wazee wa conspiracy theories kwa lugha nyingine hao UFO ni just imaginary creatures they dont exix on planet earth,they are just boogie men.M/Mpamba.
 
Na mm nasupport hakuna existance ya UFO kwani hilo swala lilishika kasi kipindi John kennedy anataka kurudi ikulu (kama sio clinton ckumbuki vzuri) na zilikuwa politicaly zaida ili kuongeza mafanikio yatakayomuezesha kurudi ikulu
 
Niko interested mkuu hebu dadavua, matumaini gani hayo ambayo unahisi tutapoteza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…