Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

You call them 'UNIDENTIFIED FLYING OBJECTS', and that's where the discussion should end!
....................................................... Neil deGrasse Tyson
 

Doomsday Conspiracy si kitabu cha James Hadley Chase bali Sidney Sheldon.
 
There must be intelligent life somewhere in other galaxies,(there are billions of billions of galaxy ikiwemo yetu ya milky way) if our galaxy has habitable zones then why not other galaxies too?na ukiangalia binadamu ame explore dunia kwa zaidi ya miaka 1500 ila space hatujafikisha hata miaka 100 so many things are still being studied.
 
Doomsday Conspiracy si kitabu cha James Hadley Chase bali Sidney Sheldon.
Sawa sawa mkuu hiki kitabu ninacho nimekisoma..ilikua huko uswizi ,milima alpas kitu km hicho,akatumwa mpelelezi Robert afuatile wale watalii walioona hicho chombo
 
Siku nyengine andika kwa Kiswahili. Huu ni ukumbi wa watu wanaotumia lugha ya Kiswahili.
 
Dunia na nje ya dunia kuna mambo mengi ambayo hayafamiki vizuri au kabisa kwa mwanadamu lakini kadiri mda unavyokwenda mwanadamu anaenda anaongeza ufahamu juu ya mambo haya.

nijuavyo mimi kuna mtu anafanya utafiti kuhusu uwepo wa mwenyezi mungu na kwa taarifa nilizonazo ni kuwa findings zake watu wengi hawata zipenda ila kama ndio ukweli inabidi kukubaliana nazo.

wapo wanaojiuliza kwa nini mambo haya yanatokea marekani tu? yawezekana mambo haya yanatokea ulimwengu mzima lakini sehemu kama afrika kwetu tuna kumbatia ujinga sana kwa maana ya wazungu wakisema kitu tunachukua na sisi kwetu tunafunga milango yote ya new ideas kwa kubishia kila wazo la mwafrika kutumia aproach za wazungu.

kwa hiyo inawezekana mambo haya kutokutokea afrika ni kwa sababu tunapenda brain zetu kuwa colonised kiasi cha kutokuamini new ideas kutoka kwetu.

hebu niambie mtu akitokea huku kwetu akasema nimeona kitu fulani tutafanya nini zaidi ya kumbishia lakini kwa wenzetu kadiri mlivyoandika humu wanaanza kufuatilia.

Naomba kujuzwa juu ya hawa viumbe ambao nasikia tu wakitajwa kama Alliens
-Hivi ni kweli wana uwezo zaidi ya binadamu wa kawaida??
-asili yao ni ipi hasa??
-waliishi lini na bado wanaendelea kusepa??
Naomba kujuzwa
 
juzi Kati ulituambia imepita msasani....
 
hicho kitabu ni cha sydney sheldom Doomsday conspiracy
 
The first day nimeskia about viumbe kuishi kwenye galaxy zingine niliskia from my in 1999 nilikuwa kiasi mdogo alinieleza mengi sana but sikuwa na uadadisi kiivyo 2010 is when I heard it again na nikawa very curious, since then nimefatilia sana both ways wanaokubali uwepo na wasiokubali ila mwisho nimejiridhisha kabisaa hawa jamaa wapo na wamecontribute sana kwenye technology development na race nyingi zinatulinda sana planet earth but zingine ni adui zetu. Sitaki kumwaminisha mtu ila mimi kama mimi naamini wapo.
 
Binafsi bado sijaamini, UFO nyingi ni kutokana na secret innovation and testing of new technology. Kuna maeneo ya kufikirika ambayo sijui ukweli wake mfano Area 51 inasemekana ipo Nevada desert.
 
Kind2, ni kweli innovations zipo, Area 51 ipo kweli. Inahitaji kufatilia sana mpaka kujiridhisha. Angalia youtube most of former astronouts wanakubali. Just take time hata youtube info zipo kibao tu. Sikushauri uamini amini jiridhishe mwenyewe
 
Kind2, ni kweli innovations zipo, Area 51 ipo kweli. Inahitaji kufatilia sana mpaka kujiridhisha. Angalia youtube most of former astronouts wanakubali. Just take time hata youtube info zipo kibao tu. Sikushauri uamini amini jiridhishe mwenyewe
Ni kweli nimeangalia documentary nyinyi sana za X Nasa ila bado naona ni illussion kuamini uwepo wa UFO
 
Wakuu kwa kweli kuamini kuwa tuko peke etu ktk ulimwengi huu mpana ni jambo ambalo haliingii akili sisi dunia ni kama tone moja la maji ktk bahari yani universe ni pana mno mno na hii pana ni ambayo ni observable tu wachilia mbali ambayo hatujaiona kuna billion of galaxies na kila galaxy ina majua mengi mno na kila majua ya sayari sana dark energy ina hold those things na kuvipa speed na gravity kwa ajili ya balance sasa sisi dunia kama ni tone la maji ktk bahari tunaweza kuwa peke etu kweli?
 
Ukiifahamu elimu ya anga hutakuwa na doubt yoyote kuhusiana na uwepo wa hawa aliens. Maelezo waliyotoa wengi yamejitosheleza kabisa kuthibitisha hilo na ushahidi wa kuwepo kwa billions of galaxies with quintillions of planets Leo useme the only habitable planet ni dunia tu? itakuwa ni uwongo wa wazi kabisa.
Nahisi hata hawa majini au angels watakuwa na mazingira yao fulani wanayoishi wakiwa wengi sana, na wengine wamepata mahali pa kuishi hapa duniani kwetu.
 
so far tuna sayari tisa kwenye hii solar system iliyopo kwenye galaxy ya milkway, lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha uwezekano wa maisha kwa binadamu nje ya hii dunia yetu, interstellar travel and deep space exploration ni moja ya tasnia ngumu za utafiti, ishu inakuja hv ; kama ndani ya hii solar system bila ya kujumuisha the whole milk way galaxy,wameshindwa kutoa liable evidence based conclusion, vp kuhusu huko pasipojulikana, kilichobaki ni labda labda na huenda ikawa, lakini mpaka sasa hakuna ushahidi yakinifu wa kuthibitisha uwepo wa hao aliens/ufo, labda kama ww unao huo ushahidi tuwekee hapa, kuliko kulazimisha iwe kweli
 
Ingia YouTube check(Hanger 1 Documentary sires ) wamewaelezea vizuri.
 
Naamini uwepo wa UFOs.kama ninavyoamini uwepo wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…