Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Dah shukrani sana mkuu!! Hii kitu ilinichanganya sana, hao alliens ni jamii ya huko au? maana naona kama kuna kabifu flani hivi, mimi nilisikia mahala kwamba waliona kitu kama mng'ao flani kama vile mtu anashikilia kio alaf anakilenga juani sasa ule mwanga unaotoka juani anakuletea wewe, nasikia baadhi ya UFO ina sifa hiyo, hicho ndicho nilichokipata mimi, ila kuhusu hao viumbe sina habari kabisa.Kingine nakumbuka miaka ya 92 hivi nilipata stori ya kiumbe aliyetoka sayari ya Mars, nafikiri ni hao hao wa jamii ya Alliens, au siyo hao?

UFOs ni vifaa vya anga za juu ambavyo hutumiwa na viumbe ambavyo kwa wenye imani wanasema ni babu zetu ambao wamerudi kwa ajili ya kuleta order ya ufahamu wa mtu mweusi baada ya kupata mateso kwa kipindi kirefu. ufahamu mwingi uliopo sasa duniani hasa kuamka kwa watu weusi ni matokeo ya marekebisho ya DNA yetu kwa kuwa DNA ni nyumba ya maarifa. kwani hii dunia iliumbwa na kuwekwa watu weusi wailinde. kilichotokea miaka elfu 6000 iliyopita kulitokea na mabadiliko baada ya kuumbwa kwa viumbe vingine (wazungu) ktk milima ya caucass kwa mfano wetu kama negative side ya watu weusi ili weusi waexperince upande wa ubaya wao. ndipo watu weusi wakawa wahanga wa mabadiliko hayo ya kiutawala wa dunia. kwahio kupoteza kwa mahali petu. tuliondolea hata ujuzi, maarifa na kumbukumbu ya uwepo na umuhimu wetu.

Lakini haya yote yameandikwa katika DNA zetu. sasa ni matukio tu ya mbingu na dunia yetu kwa nyakati tofauti. kila kilichoandikwa lazima kitimia. hivyo UFOs ni chariot of Israel ambazo zinakuja hapa kwa lengo moja tu. kutukumbusha lengo la uwepo wetu. na jinsi ya kurudi katika mahali petu ambapo tumenyang'anywa..........
 
hujue hwa nashangaa sana hii stor sababu sijui vitu hiv vinakula ngombe mara anspotelea ndan sielew hapo isee
 
Bado kumeendelea kuwa na sintofahamu kuhusiana na UFO's zinazoonekana sehemu mbalimbali lkn chakushangaza shirika kubwa la NASA bado halijaja na majibu ya kutosheleza kuhusu UFO hapa napatwa na walakini huenda kuna kitu kinafichwa...

Mwanaanga Michael Collins ambaye alikuwa rubani wa Apollo, anadai kwenye kitabu chake cha "Carrying the Fire" (kubeba moto) kwamba UFO ilijitokeza ghafla kutoka kusikojulikana na kumudu kwenda sambamba na mwendo mkali wa Apollo kwa masafa marefu. Wakati huo Apollo ilikuwa katika kasi ijulikanayo kama "transonic speed",
ambayo ni takribani kilometa 40,000 kwa saa (sawa na kilometa 11 kwa sekunde).

Anaeleza kuwa walipotoa taarifa duniani kwa makao makuu ya NASA kwamba kulikuwa na chombo kigeni kinawafuatilia, walijibiwa kuwa "hiyo ni UFO, achana nayo, zingatieni safari
maana ndiyo muhimu kwenu." Baadaye UFO hiyo ilitoweka kama ilivyokuja.

Toka miaka hiyo mpk leo ina maana hawajui nini kinaendelea..? Na kwa jibu hilo inaonyesha wazi yakuwa hawana mashaka na UFO's!!
 
Back
Top Bottom