Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Ndio wanaficha kwani madhara ya kukubali uwepo Wa ufo .bila kujua chanzo chake halisi ni sawa na kubadilisha historia ya imani duniani dhidi ya mwanadamu .kinachofanyika sasa hivi ni uchunguzi na zaidi kutoka vyanzo katika biblia juu ya historia na michoro inayopatikana ndani ya biblia na vitabu na michoro viusianavyo. Na hii ni baada ya kugundulika historia na michoro inayo ashiria uwepo Wa UFO toka enzi ya adamu na ataa zaidi .kwa ajili hiyo itabakia kuwa UFO hakuna .mpaka itakapo julikana Kama Mungu aliliweka wazi na analielewa ni nini ,vinginevyo kutambua uwepo Wa UFO bila chanzo chake kuhusika na kujilikana na Mungu, haitakuwa ajabu binadamu kuanza kutengeneza chombo cha kwenda huko UFO zinakotoka,na wakaachana kabisa na habari ya makanisa na miskiti kuabudu .maana madereva Wa UFO kwa Maelezo yao kufa mwili hawajali ni swala la kuhamia mwili mwingine.ni sawa na sisi binadamu tunavyo amini roho kwenda peponi lakini ikiwa ni siri tusio ijua. tofauti yao viumbe hao madereva Wa UFO sio siri kwao wanajua wazi mwili ukifa wanahamia mwili mwingine ,habari zaidi Google: UFO documentaries
Hao madereva wa UFO ni viumbe wa kawaida au...?
 
Heheheheheheh!!! Riwaya kama wasingekua wanawaficha watu ili wasiseme ukweli, kila unachokiona ni illusion, Mungu wa kweli ananguvu sana na ndo maaana anatuonyesha kila utundu wa shetani kila siku anapojaribu kutuvua imani,, urongo wa hawa jamaa, wewe umeshikwa! Amka bado shimo ulilomo wanakula panya wabichi
ha ha.. let me finish it be you as you and let me be as me...
 
Wazungu kitambo sana wanayatafuta makazi ya M/Mungu, soma vitabu vya dini utanielewa tu, Area 51 ipo na kazi yao kitanbo ndo hiyo kuzuga wale wote wasiyo na imani, shetani ananguvu nyie watu, nawashangaa sana mnavyokurupuka nakua fwatilia hawa wazungu, Nasa ni illuminati we unafkiri unadanganywa vp wewe, soma sana, kuna jamaa alienda mwizini na alivyorudi nasa walimficha mpaka mauti yalipomfika akiwa na 67yrs unajua ni kwanini? Kasome wacha kua mtumwa
sasa mkuu wewe si tayari umeshasoma hizo kitu ,embu dondosha uzi hapa ili na sisi pia tupate darasa
 
Mleta mada ungeenda mbele zaidi kwa kutieleza unadhani hicho ki UFO kikiendelea kuwepo ni nn athari zake?
 
ila kwenye hili la dunia kulizunguka jua, nina mashaka ni sayansi isiyo na uhakika, kwa sababu ukipanda chombo chochote kinapo move utayumba kwa namna yoyote, Dunia ikimbie 30 km/sec tusipigwe na upepo wakati tuko juu ya dunia,
na kama spindi ndiyo hiyo, ndege inaruka angani na inaenda magharibi halafu inaukuta mji, mi nadhani siyo sahihi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Soma gravitation mkuu
 
Sio lazima ushikiwe akili na NASA au mtu yeyote it doesn't make any sense that we are alone in this huuuge galaxy which is in the clusters of galaxies which are in vast amounts of clusters just make a single milky way WE ARE NOT ALONE GUYS.
Same thinking
 
Kwenye classificafion za kuchotwa akili wewe unaweza kua huku,

wewe ni mgumu sana kuelewa hujui hata nataka nini nakushangaa ulivyokomalia.. jitahidi kuwa mwepesi kuelewa
 
wewe ni mgumu sana kuelewa hujui hata nataka nini nakushangaa ulivyokomalia.. jitahidi kuwa mwepesi kuelewa

science fiction,man made theology wewe unachotwa tu hayaaaaaaaa tukinaaa!!!
 
Cops reveal multiple UFO sightings and 'alien abduction'...in Lancashire

Published 11th February 2017

A STRING of extraordinary UFO sightings – including an alleged alien abduction – have been reported in Lancashire.

e6b30c2244aa18d12c60b6e8d2950379.jpg


999 call handlers have taken eight reports of paranormal activity in recent years, a Freedom of Information request submitted by Lancashire Telegraph reveals.

In Accrington the police were called about an attempted alien abduction last March.

However there was no record of officers attending the call.

A month later the force received a call about an alleged “UFO landing” in Marsden Park, Nelson.

6e5b76710dc72809bba6fe0d693e7738.jpg

STRANGE: Pendle Hill is linked to much alleged paranormal activity

The FoI request reveals officers did attend on two occasions to reports of two unidentified craft over Pendle Hill, east Lancashire, in 2015, and a separate one in Lytham St Annes in 2014.

Pendle Hill is linked to much alleged paranormal activity – including allegedly being haunted by witches who were killed after witch trials there in 1612.

Police said no UFOs were detected by officer once they arrived.

Author Neil Spring revealed mass UFO sightings were reported in Broad Haven in Wales 40 years ago in his new book – The Watchers.

Fourteen children witnessed a craft which landed near their school.
 
kwa majibu yao kama vile hawana wasiwasi wanavifahamu then kwa nini jina lake ni UFO?
 
du km 11 kwa sekunde, hii inazidi umeme aisee

Hehehe unafanya utani?
Km 11 kwa sekunde sio speed ya ajabu hata rockets zetu zinafika. Umeme una~move kwa speed ambayo ni estimated kua ya mwanga 300,000km/s. Ndiyo peak speed ulimwenguni, in short hatujakaribia speed ya umeme hata asilimia moja.
 
popular culture and UFO conspiracy theories, men in black (MIB) are supposed men dressed in black suits who claim to be government agents who harass or threaten UFO witnesses to keep them quiet about what they have seen. It is sometimes implied that they may be aliens themselves. The term is also frequently used to describe mysterious men working for unknown organizations, as well as various branches of government allegedly designed to protect secrets or perform other strange activities. The term is generic, used for any unusual, threatening or strangely behaved individual whose appearance on the scene can be linked in some fashion with a UFO sighting.[1] Several alleged encounters with the men in black have been reported by UFO researchers and enthusiasts.


haya ni maaandalizi ya illuminati ya kutengeneza demons na namna ya kupotosha umma, soooon they are going to come, na watakuja kwa namana ulivyowasoma na kuwataka kuwajua, elewa dunia inavyokwenda, swalini sana na fwatilieni mambo kwa kina,dunia ipo kwenye maaandalizi mengine, kuna story sio lazima uwadisiwe na baba yako wala kwenye vigenge vya kahawa, wewe kama upo kishabiki lets see
 
UFOs ni vifaa vya anga za juu ambavyo hutumiwa na viumbe ambavyo kwa wenye imani wanasema ni babu zetu ambao wamerudi kwa ajili ya kuleta order ya ufahamu wa mtu mweusi baada ya kupata mateso kwa kipindi kirefu. ufahamu mwingi uliopo sasa duniani hasa kuamka kwa watu weusi ni matokeo ya marekebisho ya DNA yetu kwa kuwa DNA ni nyumba ya maarifa. kwani hii dunia iliumbwa na kuwekwa watu weusi wailinde. kilichotokea miaka elfu 6000 iliyopita kulitokea na mabadiliko baada ya kuumbwa kwa viumbe vingine (wazungu) ktk milima ya caucass kwa mfano wetu kama negative side ya watu weusi ili weusi waexperince upande wa ubaya wao. ndipo watu weusi wakawa wahanga wa mabadiliko hayo ya kiutawala wa dunia. kwahio kupoteza kwa mahali petu. tuliondolea hata ujuzi, maarifa na kumbukumbu ya uwepo na umuhimu wetu.

Lakini haya yote yameandikwa katika DNA zetu. sasa ni matukio tu ya mbingu na dunia yetu kwa nyakati tofauti. kila kilichoandikwa lazima kitimia. hivyo UFOs ni chariot of Israel ambazo zinakuja hapa kwa lengo moja tu. kutukumbusha lengo la uwepo wetu. na jinsi ya kurudi katika mahali petu ambapo tumenyang'anywa..........
Fiction,some science na ushirikina.Duh,what a combination.
 
Roswell incident. MH 370, secret NAZI base in Artactica, hollow moon theory, hollow earth theory, the Agarthans, and the list goes on..
 
UFOs may be hoaxes but sure there are other planets out there with life. Kuna mabilioni ya nyota kwa Milky way galaxy. Na kuna mabilioni ya galaxies. Kutakosaje kuwa na viumbe wengine??
 
Back
Top Bottom