Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Noted
 
 
Habarini wana Jf,naomba kuuliza maana nasikia zamani kidogo kulikuwa na viumbe wa ajabu(aliens) na Ufo je ni kweli walikuwepo na je ikitokea wakirudi???? nawasilisha

[HASHTAG]#Aaron[/HASHTAG]
 
UFO ni unidentified flying object ,ebu cheki YouTube annunaki na kuna interview moja ya alien mwanamke anaeleza Itafute io
 
Habarini wana Jf,naomba kuuliza maana nasikia zamani kidogo kulikuwa na viumbe wa ajabu(aliens) na Ufo je ni kweli walikuwepo na je ikitokea wakirudi???? nawasilisha

[HASHTAG]#Aaron[/HASHTAG]
Inasemekana walikuwepo japo sina uhakika kwamba walikuwepo au hawapo inawezekana tunaaminishwa kupitia video na picha kwamba viumbe hao walikuwepo na watarejea duniani, makusudi kwa ajili ya kutuandaa kisaikolojia juu ya mipango ya baadae ya hao wanaotuaminisha kwamba viumbe hao walikuwepo. Mbona viumbe hivyo wanaona wazungu peke yao au ni selective havipendi kuja hata kutembea kwenye bara hili na sisi tuvione?
 
Walikuepo na uwa wana kula watu so usitembee usiku




According tu wazeee wetu co mm[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…