Are we fighting an Endless Battle?.....

kicho kitabu FEKI
 
Duh!!!:A S 39:,
😛ray:Mungu saidia Fidel80 na Kaizer wasiione hii post maana walikuwa wameanza kubadilika wakiiona sijui watarudi nyuma kidogo Dah!!!!
 
Kuleni tano...huyu King Mswati anataka kuwa beberu kwa kujilimbikizia mali....
Katibu anaandaa kikao kujadili swala hilo...ajenda moja tu...rule 3 na Teamo...

Sorry...nilikuwa nje nacheka aseee! we katibu ni noma! Umenifanya naonekana chizi hapa kwa mkoloni wangu...dah!
 
Caroline yaani nilitamani hiki kitabu kingekuwa copy moja tu the whole world maana ningekuichoma kabisa na majivu kuyazika baharini. Nimechoka kabisa ...........Lakini nani aliyeitengeneza nature?? Nahisi kama alikuwa mwanaume vile!!
 
Mjukuu unaulizia meno mdomoni?

Lini ulishawahi kusikia Mungu mama? Mungu ni Mwanaume! MUNGU BABA! MUNGU BABA WA MBINGUNI!
 
Kuleni tano...huyu King Mswati anataka kuwa beberu kwa kujilimbikizia mali....
Katibu anaandaa kikao kujadili swala hilo...ajenda moja tu...rule 3 na Teamo...

hapa naamini sheria itanifeva!.....
1-KINGS WILL ALWAYS BE TREATED SEPARATELY
2-ALL QUEENS(i repeat ALL THE QUEENS) WILL BE MEANT FOR ONE KING ONLY(i repeat ONE AND ONLY ONE KING!)

The Following 2 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​
 
I think I dont want to fight with you anymore............. lol (kama nawaona wapwa wanavyofurahia!!)

Nikiwa kama mshauri mkuu bora uwe mlokole wa kisasa.

Hivi ni vijimambo tu kikubwa uzima.

Usisahau Chuda Raha
 
Basi sasa Teamo, Asprin na Roya rudini kwenye mada..........

Samahani MJ1 huwezi kutengenganisha hi mada na infidelity....na pia huwezi kutenganisha infidelity na rules zake....pia huwezi kuwatenga infii's na infidelity....its a catch 22 situation..
 
Cheusi kwenda against mada ni kutoitendea haki maana mada yenye inakuwashia taa za kijani

hayo ni maoni ya mwandishi tu na si maoni ya watu wote sisi tuna maoni na misimamo yetu ya kupinga haka katabia
 
Duh!!!:A S 39:,
😛ray:Mungu saidia Fidel80 na Kaizer wasiione hii post maana walikuwa wameanza kubadilika wakiiona sijui watarudi nyuma kidogo Dah!!!!

Hivi ulisema ninywe valuu ngapi mwisho???:typing:
 
Samahani MJ1 huwezi kutengenganisha hi mada na infidelity....na pia huwezi kutenganisha infidelity na rules zake....pia huwezi kuwatenga infii's na infidelity....its a catch 22 situation..

Katibu hii material umetoa kichwani ako au umenukuu kwenye katiba yetu?
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
Tunaitendea haki nature! Hata sisi hatupendi kufanya hivyo, lakini nature inatukataza. Unaweza kupingana na necha wewe?
 
Kamanda, unamaanisha KITABU au hiyo SENTENSI?
nimegundua inaweza kuwa sentensi... lakini tukimpa nafasi MJ1 anaweza kuweka chapter nzima hapa feki... kuna haja ya kucheki vizuri huyu platimun lady aseije akaharibu aisee
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
HEHEHE!
nitakujibu binamu.....

veery suun!ngoja kwanza nitoke nje nikaaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…