Are we fighting an Endless Battle?.....

Hata ukigangamala tatizo n'tu humfungi kamba kila n'tu ana maamuzi yake.

Si unajua labda jamaa alipendezewa na kitu flani sasa hicho kitu kwako kimesha anza kuchuja.

Hali kadharika na wewe nawe yale maufundi yaani mikiki mikiki uliyo kuwa unaipata zamani kutoka kwa jamaa unakuta imepungua bila shaka unatafuta dogo janja afanye replacement pale upate radha kama zamani
 
basi ngoja niconclude hapa hawa watakua na damu ya kiume, hawajaumbwa kutotulia!
 
MJ1....nadhani cha kufanya ni kutafuta 'best way' ya kutekeleza necha (nimegundua kwamba infidelity sio mila tu n necha), bila kuathiri pande husika....vitu kama safety gears etc..

Unywaji (hasa wa bia) hauhitaji meno, hata kibogoyo anakunywa!!😛ray2:

:first: :becky:
 
FL1 Inasemekana kwenye kitabu kuwa .... Men want to see beyond the Stars, Not necessarily because they no longer love their wives, but because of the excitement that goes with hunting and discovery...........
Ok, kitabu sio feki ni verse moja tu

Naomba uniazime MJ1 ntakurudishia pindi nikishakitoa photocopy... na ntahakikisha nakigawa bure kwa vijana ili wajitambue kwamba wafanyayo ni shauri Mungu amependa !!!
 
Mi nimempa na dole gumba la kijani pale juu kulia....
 
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!
 
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!

Hicho kingine kina mapoint kama haya ya leo..??
 
Lakini Fidel si ni wote wawili tunatakiwa kuhakikisha maujuzi na maufundi hayachuji? Iweje nikichujisha mie weye utoke kuyatafuta nje wakati ukichujisha wewe mie nivumilie tu?
 
Hicho kingine kina mapoint kama haya ya leo..??
................zaidi Roya, zaidi

Karibia nitagraduate kwenye mahusiano lol
Single I wish to remain forever.....................
 
Tena battle inakuwa battle kweli kweli ma wife wanavyotupeleka front bila kujua.
 
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!
mmmmhhh!!! hicho naomba ukilete kwenye kamati kuu kabla ya kukijadili hapa. Sikubaliani na title in the first place!
 
................zaidi Roya, zaidi

Karibia nitagraduate kwenye mahusiano lol
Single I wish to remain forever.....................

Basi umpe Acid atoe kopi na hicho...ili atugawie.!
Ila naona ushagraduate kitambo sana... :A S thumbs_up: :A S 41:
 
Basi umpe Acid atoe kopi na hicho...ili atugawie.!
Ila naona ushagraduate kitambo sana... :A S thumbs_up: :A S 41:

Tunahakikisha na library ya ISC inakuwa na copy za kutosha for future use kwa ajili ya wanachama wapya
 
Lakini Fidel si ni wote wawili tunatakiwa kuhakikisha maujuzi na maufundi hayachuji? Iweje nikichujisha mie weye utoke kuyatafuta nje wakati ukichujisha wewe mie nivumilie tu?

Tatizo kubwa la wanawake wengi ni kujisahau hata ukimkumbusha yeye ataendelea kusahau.
 
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!

Mwandishi atakuwa alikosea heading either of two wakati anaandika alikuwa amekunywa valuer au Konyagi
 
This is very true dear...! Lakini hapo kwenye kwenye red, bado inaniumiza mimi sana, maana if something is missing, why don't you say it very openly and just having a reasonable wait for your husband's/BF's reactions? You just make an immediate decision na kutoka nje ya ndoa yako? If emotional love....! Do you mean that you don't love your BF/Husband anymore? Why don't take control of yourself over this?

Nilijua wapo wenzio wanakuja kukupa suport
me ngoja nione mnavyoflow kwanza
One is me....!

YES...! And this slogan should be open and well understood to every one...!

Roya ........ kusema ukweli nadhani very soon nitaamua kuokoka maana naona sasa sina jinsi yaani hiki kitabu kimenimaliza kabisa nguvu zangu za kike.
I think I dont want to fight with you anymore............. lol (kama nawaona wapwa wanavyofurahia!!)

Where can I get this book? I wish my wife would have it...!
 
Leo mwanajamii ume weeken upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…