Are you a female or a male?

Are you a female or a male?

Maswali mengine ni udhalilishaji, hivi mtu ambae unaongea nae ana kwa ana, Katika mazingira ya kawaida unawezaje kumuuliza yeye ni jinsia gani?
Ndioo nimoja wapo ya maswali ya wewe kujitambua je wewe ni nani??
 
Duh sasa kosa la interviewee hapo ni lipi? Kama wewe interviewer mwenyewe unaandoka your hear???
Sijakuelewa wewe umepata ngapi kwenye English tokea form 4 maana hapa watu mnajidai mnajua kingereza kumbe hakuna lolote
 
Kidhungu acha kabisa,ndo maana niliamua kuwa chinga yanini kwenda kuaibika kwenye interview
 
Ndioo nimoja wapo ya maswali ya wewe kujitambua je wewe ni nani??
Je wewe ni nani? Ili ni swali Pana na limekaa kiutambuzi zaidi, linamantiki.

Ila kuulizwa wewe ni jinsia gani wakati wanakuona, huo ni udhalilishaji.
 
Yote hayo unayakumbuka? Au ulirikodi? Kama umekumbuka yoye basi inafaa kuwa mmbea wa taifa
 
Nikiwaza intavyuu mwili wote unapata ganzi, huwa naogopa intavyuu hadi namuelewa magufuli kwanini alikua anawakimbia BBC wasimhoji
Kuna interview zingine unakuwa una-expose ujinga wako bila ya wewe kujua...watch it closely...huo ni mtego ,ukiwa mjanja unauruka...[emoji2]
 
Back
Top Bottom