basha unguja
Member
- Sep 28, 2016
- 83
- 77
Wanajamvi za mida! Poleni na uchovu wa siku nzima........
Nikiwa form two katika shule moja hv jina kapuni , mzee alijitahidi kufight ili awekeze kwa mwanae(mimi), akafaikiwa kupata fungu(pesa) ya kunipeleka shule zetu zileee za private alimaarufu watamu ke lugha.
Siku ilipowadia niliwaaga wenzangu kwa bashasha na mbwembwe nyingii as if naaamia au naenda kusoma nchi za nje kumbe ni ndani ya viunga vya hapa hapa Tanzania...Siku ikawadia ya kwenda shule mpya ambayo ilikuwa na umaarufu mkubwa wa kufundisha lugha na kufaulisha vzr sana. Tukafika shuleni nikapokelewa vzr sana na taratibu zoote zilikamilika na kwa kuwa ilikuwa boarding nika onyeshwa na bweni langu nikajiaanda kwa kuanza kuingia darasani kwa kuwa nilkuwa na mwani(hamu kubwa sana) ya kuanza shule hiyo.....
NILIPOFIKA CLASS ILIKUWA HIVI:
Mwalimu: welcome
me: senkyuuuu
mwalimu: Are you a new comer
me (kwa ujasiri kabisa) : NO
wanafunzi wenzangu wakaanza kucheka saaana kwa sauti, sikuwaelewa! mwalimu akaniuliza tena.
mwalimu: Are you a new comer
me( kwa bashasha, swaga tele) nikajibu : NOOOOO
Wanafunzi wenzangu wakaanguka tena kicheko , siku wajali. Safari hii mwalimu akabdili lugha.
Mwalimu: Mwanagu wewe ni mgeni?
me : NDIYO MWALIMU
Darasa likaanguka tena kwa kicheko wakati huu nilishtuka kidogo kwa kuona wanafunzi wengine wakicheka huku machozi yakiwatoka na wengine wakionekana kuelemewa na kicheko.
mwalimu: umetoka shule gani?
me : nikataja shule (jina la shule tu lina reflect ulichonacho ke bongo)
mwalimu: Ahaaaa pole mwanagu karibu sana hapa akataja jina shule niliyo hamia...
Baada ya hapo nikaenda kukaa mwalimu yule alimaliza kipindi akaondoka nikawa sielewi mule ndani kinachoongelewa manake nasikia watu wakiongea lakini lugha ile nikabashiri ni kiingereza kwa kweli walikuwa wanangea kwa ustadi mkubwa sana , nilikuwa kama bubu japo nilitamani kuuliza mengi ila sasa lugha sasa.
Jioni yaake ndiyo mwanafunzi mmoja alinifungukia why walikuwa wakinicheka pale class.... Nilijitahidi kusoma kwa juhudi ili kuiondoa aibu ile huwzi kuamini baadae niliimaster vizr lugha kiasi cha kupewa tuzo ya muongeaji bora ke mdaharo..... HESHIMA IKACHUKA MKONDO WAKE
Tumetoka mbali sana aseee