Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

Yaani akili zako na za Museveni, ukijumlisha una itikadi za chadema basi balaa tupu
Huyu jamaa tunamjua anateseka na njaa ni fukara wa kutupwa. Anajifanya anaijua Tanzania wakati maisha yake yote ni kwenye slums.
Wewe jaribu kufuatilia comments zake, utaona uhohehahe wake ukijidhihilisha.
Rais wao tayari ameshapigia magoti TZ, iweje gongowazi kama hili lipige kelele.
 
Wana Saikolojia wanasema, muonekano wa nje wa MTU, au muonekano wa haraka wa sehemu au nchi unaelezea mtu, sehemu au Nchi husika kwa 65%, haiwezi kwenda mbali na ukweli.

Nchi haiwezi kuficha hali ya barabara zake, kuweko kwa umeme, maji au Hospitali kijijini. Hospitali ya Ocean Road ni pekee katika kusini mwa jangwa la Sahara katika tiba za saratani kwa vifaa bora na vya kisasa, lakini bado ibatibu bure bila malipo yoyote.
 
Yaani akili zako na za Museveni, ukijumlisha una itikadi za chadema basi balaa tupu

Hehehehe!! Haya basi wacha na mimi nijiunge kwenye kuimba misifa ili twende pamoja
Tanzania barabara zote zimenyooka hamna mashimo sehemu hata moja
Tanzania wote wakarimu
Huibiwi Tanzania maana wote waaminifu....naifkiri mkulu alikosea kusema kuna baadhi walikua wanaiba mafuta kwenye lile janga
Umeme umeunga kwenye nyumba zote
Huduma za afya zipo kote

Subiri nikipata nafasi nitatafsiri misifa yote hadi mpate raha anayopata mtu anapojipiga nyeto....hehehehe
 
Hata huyu aliyeandika hii makala hajasema Tanzania yooote kila kitu kipo sawa, ila alilinganisha na Kenya, ila huwezi linganisha Tanzania na South Afrika, Tanzania bado ipo nyuma sana kwa South Africa au Misri.

Alianza kwa kusema kwamba, wakenya wengi huwa wanafikiria na kupotoshwa kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika maendeleo ya watu na huduma za kijamii kama Barabara, UMEME, Huduma za Afya, MAJI na umasikini. Lengo lake ni kuwafumbua macho wakenya kwamba, mambo ni tofauti na wabavyoamini wakenya wengi hasa wale ambao hawafika Tanzania. Njooni mje kujifunza.
 
Ndio maana kila mkenya aliefika Tanzania hatamani kurudi tena kwao. [emoji4][emoji4][emoji4]
Achana na hawa wa JF
Hata huyu aliyeandika hii makala hajasema Tanzania yooote kila kitu kipo sawa, ila alilinganisha na Kenya, ila huwezi linganisha Tanzania na South Afrika, Tanzania bado ipo nyuma sana kwa South Africa au Misri.

Alianza kwa kusema kwamba, wakenya wengi huwa wanafikiria na kupotoshwa kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika maendeleo ya watu na huduma za kijamii kama Barabara, UMEME, Huduma za Afya, MAJI na umasikini. Lengo lake ni kuwafumbua macho wakenya kwamba, mambo ni tofauti na wabavyoamini wakenya wengi hasa wale ambao hawafika Tanzania. Njooni mje kujifunza.
 
There are poor people in Tanzania but their relative quality in life is much betterthan their Kenyan counterparts.

Most f the rural folk have access to electricity,...........

Painful truth na ndio kila siku tunachowaambia
 
most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and
Sh300

😅😅😅.kumbe ni haki kukusanya kodi nyingi zaidi ya Tanzania sababu wanakamuliwa ipasavyo.
 
Hehehe! Wala sijapinga ni kweli kuna mazuri Tanzania, ila ukikaa huko siku mbili na kugeuza utaimba sifa za Tanzania maana mlivyo wajanja wa kuficha.

Alichoandika huyu jamaa kikitafsiriwa kwa Kiswahili Watanzania wengi wataishia kuchekelea pembeni.
Nahisi atakua anatafuta kandarasi kama aliyopata yule dada yetu Mumbi kwenye Youtube, maana kwenu huko ukiimba mapambio ya misifa unakua na uhakika wa kuteuliwa, hata wana habari humu JF siku hizi ni full mapambio.
Ukiingia dar unajisikia unavuta hewa nyepesi siyo nai hewa nzito unajisikia kama jinamizi lime ziba pumzi
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
Wewe tunakujua tu ni hater kwahiyo hutupi shida tatizo lenu wengi wenu mnakuja kuponda hamjawahi hata kufika tz ni story tu mnasikia. Kwako wewe tunakujua huwezi kuongelea jema la 255. Wewe ni hater na hutupi shida tulishakuzoea na kuona ndio ulemavu wako tu wa kichwani
 
Siku zote kile kizuri ulichonacho na kukizoea lazima utakiona cha kawaida ila asiye kuwanacho ndiyo anajua uzuri wa kile ulicho nacho pia,wakenya UA mnasema dar Kwa picha ni nzuri Ila kiuhalisi siyonzuri!!! Sasa tujibuni ni Kwa elimu gani inasababisha dar iwe nzuri Kwa picha kuliko naii Ila Nairobi iliyo mbaya Kwa picha iwe nzuri kiuhalisi??? Au mtasema watz wachawi wanaloga kamera
Ni kweli kila penye mazuri na mabaya yapo pia, ila hata kama unasifia jaribu kuipamba bila kuongeza viungo vingi maana utaharibu mchuzi. Kwa kifupi ukienda sehemu ni vizuri kuandika mazuri uliyoyakuta, lakini usiongopee maana hata wenyeji watajihisi kama watoto wadogo wanaodanganywa kwa pipi.
Kwa Mtanzania ambaye ako objective na anaishi Dar ile moja ninayoifahamu, asome alichoandika huyu jamaa neno kwa neno na kutafakari kama kweli hapo hamkupakwa kwa mgongo wa chupa.
 
However, I realized that there is a very small gap between the rich and the poor. If you ask me, there is little that a man in Kibera benefits from the Hub Mall in Karen – or in the big mansions that surround his ramshackle.

Na hapa ndipo penye mantiki ya social development, mambo ya malls and shiny mansions ni only 1.5% of Kenyans are benefiting the rest are suffering from wonder insufficiency.
 
Tanzania has invested in its people’s healthcare and I observed several public hospitals in my safari – most admirable being the Ocean Road Cancer Institute – next to State House Dar es Salaam. I was pleasantly surprised to learn that Cancer patients in Tanzania have a right to be treated for free, once they are diagnosed.

Thank you JPM for this.
 
Alafu picha nyingi za Dar huwa tunatuma bila filters [emoji23][emoji23][emoji23] ila wao sasa bila filter hawatumi
Siku zote kile kizuri ulichonacho na kukizoea lazima utakiona cha kawaida ila asiye kuwanacho ndiyo anajua uzuri wa kile ulicho nacho pia,wakenya UA mnasema dar Kwa picha ni nzuri Ila kiuhalisi siyonzuri!!! Sasa tujibuni ni Kwa elimu gani inasababisha dar iwe nzuri Kwa picha kuliko naii Ila Nairobi iliyo mbaya Kwa picha iwe nzuri kiuhalisi??? Au mtasema watz wachawi wanaloga kamera
 
most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and
Sh300

[emoji28][emoji28][emoji28].kumbe ni haki kukusanya kodi nyingi zaidi ya Tanzania sababu wanakamuliwa ipasavyo.
Ndio maana wanakunywa sana chang'aa
 
wee kikuyu,
sikiliza nikwambie, hata ukiishi palm beach miami USA ndani ya mda wa miezi mitatu au zaidi, lazima utaanza kuona vitu negative ambavyo havitakupendeza. so nadharia yako ina apply kote kote.
Ila Kenya upungufu utauona SAA hiyo hiyo labda uwe mzungu maana wakenya wanasujudia mzungu
 
A Kenyan journalist’s experience in Tanzania Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania.

A close friend has been working as an expatriate in Dar es Salaam for a couple of months and we decided to surprise him with a visit as we took time to recharge from our respective work stations.

It was meant to be a week of what we call boys being boys, exporting our Nairobi
“misbehavior” to a foreign city.

The trip turned up just fine but it also offered many points of reflection, some of
which I wish to share with Kenyans.

Growing up in Kenya, I would occasionally hear of the low opinion Kenyans had towards their southern neighbor.

Public infrastructure “A Tanzanian coming to Nairobi is more excited than a Kenyan visiting London,” I would hear.

It was therefore a surprise that Tanzania has much better quality of roads than Kenya.

The Nairobi Namanga highway is perhaps one of the bestvroads in Kenya but it does not match the quality that has been put up on the Tanzania side (Namanga to Arusha).

The two roads are just as smooth but unlike Kenya, the Tanzanian side is well marked with appropriate headlight illuminated markings.

A file photo of Kigamboni Bridge one of the major infrastructure development projects in Dar es Salaam Beyond Arusha, we moved further south to Moshi, to Lushoto, and eventually to Dar es Salaam – with the same experience of smooth, well- marked roads with very bumps.

While moving from Dar, we decided to use a different route via Bagamoyo and Tanga, and entered Kenya via the Lunga Lunga.

In all the nearly 1500 kilometres of highways in Tanzania, we had not witnessed a single pothole and not even a minor road accident.

The return to Kenya was a painful reminder of the numerous potholes that dot our roads but also something we had not yet put a finger on.

Roads in Kenya are very rough and rugged even when they are fully tarmacked – mainly because corrupt officials allow overloaded trucks to the detriment of the roads and safety of road users.

The highlight, for me, was the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam,
popularly known as Mwendo wa Kasi.

Unlike the shoddy planning of BRT in Kenya, the Tanzanian one has picked up well and has well-designed and dedicated lane which other motorists cannot join - complete with several termini that connects the suburbs to the CBD.

The BRT project in Dar es Salaam makes a joke of the red line that was introduced
here in Kenya The BRT project in Dar es
Salaam makes a joke of the red line that was introduced here in Kenya Social Values Beyond the infrastructure,
perhaps the greatest lesson was on the Tanzanian shared national culture.

While heading out of Bagamoyo towards Tanga, our bus stopped for passengers to
buy provisions but left before a hawker could refund Tsh6000 (about Ksh300)
change.

As we relayed our sorries to the affected passengers, we noticed the hawker atop a boda boda, signaling for our attention.

The boda boda overtook us and proceeded to wait for ourb bus at the next weigh bridge (yes even buses are subjected to a weight check!).

He returned the change minus the boda boda fare – much to the shock of my friend and I who were sure the man had
closed his kiosk early!

Of course, it was a non-event to the Tanzanians who have inculcated a culture of high integrity in all the spheres of their life.

In the streets, we observed all motorists were stopping at a zebra-crossing even when there was no pedestrian crossing, and stopping at every red light even when the road was clear. Unlike in Kenya where the sight of an emaciated drunkard has become normal, there was none in Tanzania.

This is perhaps because most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and
Sh300.

There is also Konyagi - the Tanzanian national drink that is manufactured through hygienic production of what is
referred to as chang’aa in Kenya.

Quality of life In terms of private-sector infrastructure, Kenya is far ahead of Tanzania.

There are little or no maisonettes in their city estates, their malls are a far cry from what we have here in Kenya – the Garden Citys and Two Rivers of this world.

However, I realized that there is a very small gap between the rich and the poor. If you ask me, there is little that a man in Kibera benefits from the Hub Mall in Karen – or in the big mansions that surround his ramshackle.

There are poor people in Tanzania but their relative quality in life is much betterthan their Kenyan counterparts.

Most f the rural folk have access to electricity and although there are slums in
Dar es Salaam – they are significantly less populated than what we have here in
Nairobi.

Tanzania has invested in its people’s healthcare and I observed several public hospitals in my safari – most admirable being the Ocean Road Cancer Institute – next to State House Dar es Salaam. I was pleasantly surprised to learn that Cancer patients in Tanzania have a right to be treated for free, once they are diagnosed.

I hope Kenya will rise up to the challenge and take up its leadership role in the region, not just in enabling the private
sector, but also uplifting citizen welfare by investing in the soft elements of public
well-being.
Nadhani sasa ndipo Salary Slip Quinine BAK Sky Eclat Zitto mtaelewa kuwa maendeleo yanapimwa kwa infrastructures siyo kubwabwaja majukwaani. Ni wivu unawasumbua tu kwa kutompongeza Magufuli
 
Siku zote kile kizuri ulichonacho na kukizoea lazima utakiona cha kawaida ila asiye kuwanacho ndiyo anajua uzuri wa kile ulicho nacho pia,wakenya UA mnasema dar Kwa picha ni nzuri Ila kiuhalisi siyonzuri!!! Sasa tujibuni ni Kwa elimu gani inasababisha dar iwe nzuri Kwa picha kuliko naii Ila Nairobi iliyo mbaya Kwa picha iwe nzuri kiuhalisi??? Au mtasema watz wachawi wanaloga kamera

Picha inategemea unapiga kwenye angle ipi, picha nyingi huwa mnapiga mkihusisha zile twin towers mpya, na kuficha upande wowote wa Dar usiohusisha hayo majengo mawili.
Kwa mfano hii picha hapa chini ni ya Dar mjini, tena ndani kabisa NCBDA

Dar_es_Salaam_before_dusk.jpg
 
Back
Top Bottom