Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

Yaani akili zako na za Museveni, ukijumlisha una itikadi za chadema basi balaa tupu
Huyu jamaa tunamjua anateseka na njaa ni fukara wa kutupwa. Anajifanya anaijua Tanzania wakati maisha yake yote ni kwenye slums.
Wewe jaribu kufuatilia comments zake, utaona uhohehahe wake ukijidhihilisha.
Rais wao tayari ameshapigia magoti TZ, iweje gongowazi kama hili lipige kelele.
 
Wana Saikolojia wanasema, muonekano wa nje wa MTU, au muonekano wa haraka wa sehemu au nchi unaelezea mtu, sehemu au Nchi husika kwa 65%, haiwezi kwenda mbali na ukweli.

Nchi haiwezi kuficha hali ya barabara zake, kuweko kwa umeme, maji au Hospitali kijijini. Hospitali ya Ocean Road ni pekee katika kusini mwa jangwa la Sahara katika tiba za saratani kwa vifaa bora na vya kisasa, lakini bado ibatibu bure bila malipo yoyote.
 
Yaani akili zako na za Museveni, ukijumlisha una itikadi za chadema basi balaa tupu

Hehehehe!! Haya basi wacha na mimi nijiunge kwenye kuimba misifa ili twende pamoja
Tanzania barabara zote zimenyooka hamna mashimo sehemu hata moja
Tanzania wote wakarimu
Huibiwi Tanzania maana wote waaminifu....naifkiri mkulu alikosea kusema kuna baadhi walikua wanaiba mafuta kwenye lile janga
Umeme umeunga kwenye nyumba zote
Huduma za afya zipo kote

Subiri nikipata nafasi nitatafsiri misifa yote hadi mpate raha anayopata mtu anapojipiga nyeto....hehehehe
 
Hata huyu aliyeandika hii makala hajasema Tanzania yooote kila kitu kipo sawa, ila alilinganisha na Kenya, ila huwezi linganisha Tanzania na South Afrika, Tanzania bado ipo nyuma sana kwa South Africa au Misri.

Alianza kwa kusema kwamba, wakenya wengi huwa wanafikiria na kupotoshwa kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika maendeleo ya watu na huduma za kijamii kama Barabara, UMEME, Huduma za Afya, MAJI na umasikini. Lengo lake ni kuwafumbua macho wakenya kwamba, mambo ni tofauti na wabavyoamini wakenya wengi hasa wale ambao hawafika Tanzania. Njooni mje kujifunza.
 
Ndio maana kila mkenya aliefika Tanzania hatamani kurudi tena kwao. [emoji4][emoji4][emoji4]
Achana na hawa wa JF
 
There are poor people in Tanzania but their relative quality in life is much betterthan their Kenyan counterparts.

Most f the rural folk have access to electricity,...........


Painful truth na ndio kila siku tunachowaambia
 
most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and
Sh300

😅😅😅.kumbe ni haki kukusanya kodi nyingi zaidi ya Tanzania sababu wanakamuliwa ipasavyo.
 
Ukiingia dar unajisikia unavuta hewa nyepesi siyo nai hewa nzito unajisikia kama jinamizi lime ziba pumzi
 
Wewe tunakujua tu ni hater kwahiyo hutupi shida tatizo lenu wengi wenu mnakuja kuponda hamjawahi hata kufika tz ni story tu mnasikia. Kwako wewe tunakujua huwezi kuongelea jema la 255. Wewe ni hater na hutupi shida tulishakuzoea na kuona ndio ulemavu wako tu wa kichwani
 
Siku zote kile kizuri ulichonacho na kukizoea lazima utakiona cha kawaida ila asiye kuwanacho ndiyo anajua uzuri wa kile ulicho nacho pia,wakenya UA mnasema dar Kwa picha ni nzuri Ila kiuhalisi siyonzuri!!! Sasa tujibuni ni Kwa elimu gani inasababisha dar iwe nzuri Kwa picha kuliko naii Ila Nairobi iliyo mbaya Kwa picha iwe nzuri kiuhalisi??? Au mtasema watz wachawi wanaloga kamera
 
However, I realized that there is a very small gap between the rich and the poor. If you ask me, there is little that a man in Kibera benefits from the Hub Mall in Karen – or in the big mansions that surround his ramshackle.

Na hapa ndipo penye mantiki ya social development, mambo ya malls and shiny mansions ni only 1.5% of Kenyans are benefiting the rest are suffering from wonder insufficiency.
 
Tanzania has invested in its people’s healthcare and I observed several public hospitals in my safari – most admirable being the Ocean Road Cancer Institute – next to State House Dar es Salaam. I was pleasantly surprised to learn that Cancer patients in Tanzania have a right to be treated for free, once they are diagnosed.

Thank you JPM for this.
 
Alafu picha nyingi za Dar huwa tunatuma bila filters [emoji23][emoji23][emoji23] ila wao sasa bila filter hawatumi
 
Ndio maana wanakunywa sana chang'aa
 
wee kikuyu,
sikiliza nikwambie, hata ukiishi palm beach miami USA ndani ya mda wa miezi mitatu au zaidi, lazima utaanza kuona vitu negative ambavyo havitakupendeza. so nadharia yako ina apply kote kote.
Ila Kenya upungufu utauona SAA hiyo hiyo labda uwe mzungu maana wakenya wanasujudia mzungu
 
Nadhani sasa ndipo Salary Slip Quinine BAK Sky Eclat Zitto mtaelewa kuwa maendeleo yanapimwa kwa infrastructures siyo kubwabwaja majukwaani. Ni wivu unawasumbua tu kwa kutompongeza Magufuli
 

Picha inategemea unapiga kwenye angle ipi, picha nyingi huwa mnapiga mkihusisha zile twin towers mpya, na kuficha upande wowote wa Dar usiohusisha hayo majengo mawili.
Kwa mfano hii picha hapa chini ni ya Dar mjini, tena ndani kabisa NCBDA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…