Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

This summarizes it all
 
7 years back
Rome was not built in a day. If you haven't achieved anything in 50 years how easy is it to do so much in just seven years? I can see 2017 is 7 years ago. Jesus! I need to go back to school
 
Naona watanzania wamefurahi sana kwenye uzi huu.
 
Wewe endelea kuvuta bangi

View attachment 1179179
Hahahha.. Herb heals. Na also inaleta relaxation.

Hasa pale unapokuwa oil exporter na unapeleka mafuta nje ila mteja anaenunua mafuta hayupo/hajulikani. Hapo lazima uzame kwenye museum Kingston na ku blaze...more fire [emoji91][emoji91][emoji91]..
 
South Korea ndio ilinunua mafuta ya Kenya
 
Achana na huyo mlevi. Ashavuta rolls kadhaa already hajielewi
So you're jumping the gun to your colleague?

Weka ushahidi hapa, tuone South Korea wamenunua gallon ngapi za mafuta. Sio iwe mtu kayatanguliza afu akayafata huko abroad.
 
Uyu jamaa alitupia na mipicha kibao huko SSC basi wakenya walitoka mapovu sana...
Hayo ni maoni yake anaebisha nae afunge safari atoe analysis yake
 
Ila Kenya upungufu utauona SAA hiyo hiyo labda uwe mzungu maana wakenya wanasujudia mzungu
Nzii wa kizungu. Mbwa wa kizungu. Kuku wa kizungu. Na Wakenya je? Kwa sababu wanawapenda Sana mabasha wakizungu
 
Picha inategemea unapiga kwenye angle ipi, picha nyingi huwa mnapiga mkihusisha zile twin towers mpya, na kuficha upande wowote wa Dar usiohusisha hayo majengo mawili.
Kwa mfano hii picha hapa chini ni ya Dar mjini, tena ndani kabisa NCBDA

Picha nyingi atukuzipiga wa tz acha uongo
 
KWA VILE VYOTE TULIVYO NAVYO, NO MATTER WATASEMAJE JUU YETU MAANA KUNA WENGINE HAWAJAWAHI KUJA HUKU TZ WANAONA PICHA TU HALAFU WANASEMA TANZANIA SIO NZURI

TUJIKUBALI KIVYETU VYETU
basi sawa
 
Uyu jamaa alitupia na mipicha kibao huko SSC basi wakenya walitoka mapovu sana...
Hayo ni maoni yake anaebisha nae afunge safari atoe analysis yake
SSC ni wapi tuka cheki povu la wakenya
 
Uyu jamaa alitupia na mipicha kibao huko SSC basi wakenya walitoka mapovu sana...
Hayo ni maoni yake anaebisha nae afunge safari atoe analysis yake
tutajuaje kama alikua Mkenya au ni imposter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…