Kunta kinte1776
JF-Expert Member
- Feb 22, 2019
- 297
- 378
Hili swala la barabara tulishajadili mara mingi huku,kuanzia na urefu wa mtandao wa barabara zilizowekwa lami-tulishadhibitisha kenya tunaelekea 20000km ilhali bongo hawajielewi wako wapi.ikija ni suala la quality hapo mimi binafsi siwezi bisha,hapo hongera sana bongo,lakini haimaniishi kenya pia hamna barabara quality,zipo tena mingi sana,tena expressways/motorways/freeways/autobahns.na zingine mingi zinaendelea kujengwa.anywayz,furaha yangu nikuona tukiendelea sisi wote,competition ni muhimu lakini si wivu,we are africans and africa is our business.