Arena inayokusudiwa kujengwa Kenya si ya kitoto,Tujenge zaidi ya hii

Arena inayokusudiwa kujengwa Kenya si ya kitoto,Tujenge zaidi ya hii

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Fedha imekuwa ngumu sana natamani nijiunge na chadema maana wao lissu amehaidi akiwa rais hali itakuwa bora.
===========
Kenya imekuwa na mipango ya kujenga arena kubwa ya kisasa inayolenga kuimarisha sekta ya michezo, burudani na matukio ya kimataifa nchini humo. Mradi huo unatarajiwa kuwa sehemu ya juhudi za serikali na sekta binafsi kuboresha miundombinu ya michezo na kuvutia mashindano makubwa ya kimataifa kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, matamasha ya muziki na mikutano mikubwa.
Kwa kuwa waziri wetu ni makonda uwezekano wa kupata arena yenye quality ya hali ya juu ni mkubwa sana.

1000004018.jpg
 
Wakenya wametuzidi sana.
Hata ishowspeed alifikia hapo, na pamoja na kujua the tallest mountain ipk kwetu bado hakukanyaga. We are zombies y'aall
 
Back
Top Bottom