Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Anakupatia megawatt 10,000 kabla ya 2030.Kwani samuya ana mradi gani Kwa sasa?
Ishowspeed hana Umaana wowote...Wakenya wametuzidi sana.
Hata ishowspeed alifikia hapo, na pamoja na kujua the tallest mountain ipk kwetu bado hakukanyaga. We are zombies y'aall
Kutokea wapi?Anakupatia megawatt 10,000 kabla ya 2030.
JE huu ni mradi mdogo?
Kwako Hana umaana.Ishowspeed hana Umaana wowote...
Rahisi au Rais?Tz viongozi machawa kumsifia tu rahisi badala ya kujenga hoja za maendeleo ya nchi
Apo ndio utambue lugha ya mficho hiyo kama utasoma kama ilivyo pia utapata maana uki change pia ni nzuri zaidRahisi au Rais?