Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Naona yanatimia tumekimbia JukwaaNapata shaka kama tutafika mbali on target ya penalty baada ya hapo hola (tena vs Saudi Arabia) vs Mexico na Poland bado na ndio difficult games second half lazima tubadilike
Otamendi na Romero I knew itMy worry ipo kwenye defence hata last world Cup defence ilitutoa kwenye michuano hii sijui kwa sasa
😂😆😆😂😂 #WapigweTuHii timu siipendi sana natamani watoke makundi WC Qatar.
Najua hamtupend tena washabik wa cr7 mnatuombea sana njaa lkn tutafuzu na kupoteza kwe2 leo hesabuni sio nzr kbs kwa nyie wapinzan maana tutarud kama Simba waliojeruiwa.[emoji23][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] #WapigweTu
Mkuu uko vizuri sana , inaonekana mtaalam sanaArgentina bingwa wa world cup 2022.
Bado mechi mbili.Mkuu uko vizuri sana , inaonekana mtaalam sana
Mdomo mwingi litim bovu [emoji23][emoji23][emoji23]
We waache wajisahaurishe wkt tuliwapiga team yao pendwa ya dunia l(Brazil) kwao tukabeba ndoo.Ndio litim libovu na tukabeba ubingwa copa America, na isitoshe tukamfumua italy goli 3 na kutwaa ubingwa