Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hkn hata mmoja huyu mbarazili atapigwa kam ngomaArgentina
Brazil
Mmoja Ndio atakaebeba huu mzigo mwaka huu
Hkn hata mmoja huyu mbarazili atapigwa kam ngoma
Kwanini waondoke wakati arg 2: mxco 0?Taarifa nlizopata kutoka vyanzo vya Kuaminika ni kwamba
ARGENTINA wataondoka Qatar kesho saa 12 asubuhi kurudi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndoo tutabeba kibishi sanaArgentina
Brazil
Mmoja Ndio atakaebeba huu mzigo mwaka huu
Matumaini yapo Pa1 watu wanatubeza ngj twend kwny game nyngne ya jasho na damu j5.Hii ndoo tutabeba kibishi sana
Comment yangu[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mkuu tupo tamaa hatukati sema tupo uzi WC.Fans mpo kimya sana au ndio mmekata tamaa?
VamoooosssssMkuu tupo tamaa hatukati sema tupo uzi WC.
Mapambano ni mazito kwa sbb tuna maadui weng sana.
Walipigiwa pira na saudia sijui Leo na Mexico Kama mtatoboa
Hivi nyie mna akili kweli aliyeanzisha uzi hamnazo mpka wa Argentina wa mtogole hamnazo mkibisha nawaita Saudi Arabia