Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

Kocha wetu ni msenge(sorry to say this)sub zake zimeleta majanga makubwa mno almanasura twende extra time kamtoa Alvarez Acuna in short baada ya sub sijaona jipya anyway congratulations Argentina [emoji1033] kwa kufuzu quarter finals
 
Nakazia hapo, sijajua kwanini alifanya sub ya Álvarez,Acuńa.
Kuna mda hua anafanya vitu nahisi mwenyewe haelewi.
 
Yan asee katupa presha unnecessary sana kisa kua muoga wa ajab.. Kwnz unamtoaje papu unaleta beki dkk ya 50 uoga wa aina gn huo tena against Australia sisi tulitakiwa tuendelee kuwatafuta tuwafunge.

Asee kanipa sana presha mwshn bila sbb za msing kbs ujinga kwny maamuz ya Sub.
 
Nakazia hapo, sijajua kwanini alifanya sub ya Álvarez,Acuńa.
Kuna mda hua anafanya vitu nahisi mwenyewe haelewi.
Nahis kupanic hajawah kua kwny hatua iyo kwny maisha yake kama kocha.. Lkn maamuz yake yalitk kutupeleka Extra time bila ya sbb yoyote ile kbs.
 
Kabisa mkuu, ngoja tuone next match kama atakuwa amejifunza au laa
Naamin kajifunza ki2 maana dah alitk kutupa presha ambayo haipo hata.. Zile sub na kumuanzisha Papu aache game ya Saudi pia ilibak fire kwa Papu kuanza alikua na performance average sana weka watu halisi mbn tunao Bench Wakina Dybala kuna Correa.

Hao ukiwaweka lzm wata perform maana wanatk kuonesha na wao wanastaili kupata nafas zaid.. Ni kama alivomuamin Alvarez unaona saiv anamweka Lautaro bench.. Na leo Lautaro kaonesha kbs kwnn saiv anaanzia bench amekua hana utulivu kwny goal ivi krbn.
 
Dakika za lala salama alitaka kutupa presha huyu kocha, kama hajiamini vile..
 
Leo hii 9 Dec, saa Nne kamili za usiku, wazee wa samba, uhuni na udambwi Laa Seleccion...

ARG🇦🇷 Netherland

Kila la heri Laa Seleccion 🇦🇷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…