Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hongereni kwa ushindi uleNi mwezi sasa tangu Mabingwa wapya wa dunia tunyanyue makwapa[emoji91]
CAMPEONES DEL MUNDO [emoji471][emoji1033]
Vamoooooooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033]View attachment 2486456
Shukran sana mkuu.Hongereni kwa ushindi ule
Walistahili
Hakika tulipambana tangu siku ya kwnz tuliposemwa sana baada ya kufungwa na Saudi Arabia... Na kufungwa ile game ndo ilikua ushindi kwetu kubeba ubingwa.Walistahili
gemu ya saudi nakumbuka sikupata muda wa kuangalia nilishtuka wadau wananitafuta na kunicheka, nilikua mpole siku hiyo lakini sikuikatia argentina tamaa. I'm very happy for messi. Enzo fernandez, molina na de paul walikiwasha sana.Hakika tulipambana tangu siku ya kwnz tuliposemwa sana baada ya kufungwa na Saudi Arabia... Na kufungwa ile game ndo ilikua ushindi kwetu kubeba ubingwa.
Iyo game nakumbuka baada ya sisi kupoteza.. Niliwaambia watu jf hapa na kila sehem kua inaweza kua advantage Kubwa sana kwa Argentina kupoteza iyo game kwa sbb walikua wamebweteka hawajapoteza mda mref sana kwhy inaweza kua wake up call kubwa sana kwetu tukafanya kama Spain 2010 alipoteza game ya kwnz.. Watu walinishambulia sana lkn mwsh wa sik tulienda all the way.gemu ya saudi nakumbuka sikupata muda wa kuangalia nilishtuka wadau wananitafuta na kunicheka, nilikua mpole siku hiyo lakini sikuikatia argentina tamaa. I'm very happy for messi. Enzo fernandez, molina na de paul walikiwasha sana.
Mimi mwenyewe nilikutana na upinzani mkubwa lakini sikuwa na namna. Timu zangu ni argentina na morocco. Kwenye grup ya argentina niliekuwa namhofia ni mexico tu hao wengine ni bahati.Iyo game nakumbuka baada ya sisi kupoteza.. Niliwaambia watu jf hapa na kila sehem kua inaweza kua advantage Kubwa sana kwa Argentina kupoteza iyo game kwa sbb walikua wamebweteka hawajapoteza mda mref sana kwhy inaweza kua wake up call kubwa sana kwetu tukafanya kama Spain 2010 alipoteza game ya kwnz.. Watu walinishambulia sana lkn mwsh wa sik tulienda all the way.
Kabisaaa walistahiliWalistahili
Hawa Jamaa ni hatariiii
29 march 2023,
Argentina 7-0 Curacao
Messi⚽️⚽️⚽️
Gonzalez⚽️
Fernández ⚽️
Di maria ⚽️
Montiel⚽️
Player of the match, Messi
Kilichobakia kwa sasa Argentina waagize mechi na Taifa Stars na Burundi ili Messi apate kuongeza magoli yake.
Hahaaaa sheikh upo?
Ni aibu kabisa kila siku kuendelea kucheza mechi za kirafiki na Panama, Jamaica na hao wajuzi hata jina kwangu ni geni kuendelea kutafuta magoli.
Hivi huko Argerntina hakuna vijana wadogo wakapewa nafasi katika mechi kama hizo?