Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

Ni mwezi sasa tangu Mabingwa wapya wa dunia tunyanyue makwapa[emoji91]

CAMPEONES DEL MUNDO [emoji471][emoji1033]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033]
20230118_150420.jpg
 
Hakika tulipambana tangu siku ya kwnz tuliposemwa sana baada ya kufungwa na Saudi Arabia... Na kufungwa ile game ndo ilikua ushindi kwetu kubeba ubingwa.
gemu ya saudi nakumbuka sikupata muda wa kuangalia nilishtuka wadau wananitafuta na kunicheka, nilikua mpole siku hiyo lakini sikuikatia argentina tamaa. I'm very happy for messi. Enzo fernandez, molina na de paul walikiwasha sana.
 
Iyo game nakumbuka baada ya sisi kupoteza.. Niliwaambia watu jf hapa na kila sehem kua inaweza kua advantage Kubwa sana kwa Argentina kupoteza iyo game kwa sbb walikua wamebweteka hawajapoteza mda mref sana kwhy inaweza kua wake up call kubwa sana kwetu tukafanya kama Spain 2010 alipoteza game ya kwnz.. Watu walinishambulia sana lkn mwsh wa sik tulienda all the way.
 
Mimi mwenyewe nilikutana na upinzani mkubwa lakini sikuwa na namna. Timu zangu ni argentina na morocco. Kwenye grup ya argentina niliekuwa namhofia ni mexico tu hao wengine ni bahati.
 
24 march 2023, friendly match

Argentina 2-0 Panama

Almada⚽️
Messi⚽️

Player of the match, Messi
 
29 march 2023,
Argentina 7-0 Curacao

Messi⚽️⚽️⚽️
Gonzalez⚽️
Fernández ⚽️
Di maria ⚽️
Montiel⚽️

Player of the match, Messi
 
29 march 2023,
Argentina 7-0 Curacao

Messi⚽️⚽️⚽️
Gonzalez⚽️
Fernández ⚽️
Di maria ⚽️
Montiel⚽️

Player of the match, Messi

Kilichobakia kwa sasa Argentina waagize mechi na Taifa Stars na Burundi ili Messi apate kuongeza magoli yake.
 
Hahaaaa sheikh upo?

Ni aibu kabisa kila siku kuendelea kucheza mechi za kirafiki na Panama, Jamaica na hao wajuzi hata jina kwangu ni geni kuendelea kutafuta magoli.
Hivi huko Argerntina hakuna vijana wadogo wakapewa nafasi katika mechi kama hizo?
 
Ni kawaida, kama ambavyo european teams wakina spain, Portugal, italy, france wakikutana na Macedonia, malta, Luxembourg n.k!
 
Back
Top Bottom