BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #21
Na Pablo Aimar pia,maradona alisema"huyu ndiye atakua mrithi wangu" requelme na Diego Walikua hawaelewani ndo maana hata kwenye world cup hakumuita,
Requelme sitomsahau alikua ni balaa sema kasahaulika
Walikuwepo viungo wakali, Diego Simioni, Redondo, Ariel Ortega na wengine kibao. lakini Juani Requelme ni habari nyingine. Diego maradona alishindwa kumtumia vizuri kwenye fifa world cup akiwa kocha.
ila huyu Maradona alikuwa hatariii sana yani enzi zake ni weka mbal na watoto😀😀 Germans will not forget him forever...mshikaji alikua anatabia moja...alikua anawafuata mabeki makusudi ili awaadhibishe..yaani ni player anaejiamini sana na ndio tunayashuhudia kwa King Messi
Hahahaha huyu bauza kafana nini tena? Kamrudisha tena Higuain? Aise hii ni balaa, tumechoka sasa sababu kila final anakosa magoli ya wazi.alaf huko alikotoka madrid,napoli na sasa yupo juve anaingiza magoli ka njugu,kwenye tim y taifa anaboa.
WACHEZAJI 21 WAMEANDALIWA KUELEKEA LIMA' NCHINI PERU.
GOALKEEPERS:
Nahuel Guzmán (Tigres, Mexico),
Sergio Romero (Manchester United, England)
DEFENDERS:
Facundo Roncaglia (Celta Vigo, Spain),
Mateo Musacchio (Villarreal, Spain),
Ramiro Funes Mori (Everton, England),
Marcos Rojo (Manchester United, England),
Martín Demichelis (Espanyol, Spain),
Gabriel Mercado (Sevilla, Spain),
Nicolás Otamendi (Manchester City, England),
Pablo Zabaleta (Manchester City, England)
MIDFIELDERS:
Matías Kranevitter (Sevilla, Spain)
Javier Mascherano (Barcelona, Spain),
Ever Banega (Inter, Italy),
Erik Lamela (Tottenham, England),
Nicolás Gaitán (Atlético Madrid, Spain),
Ángel Di María (Paris Saint-Germain, France)
FORWARDS:
Ángel Correa (Atlético Madrid, Spain)
Lucas Pratto (Atlético Mineiro, Brazil),
Sergio Agüero (Manchester City, England),
Paulo Dybala (Juventus. Italy),
Gonzalo Higuaín (Juventus, Italy)
Match Info
Venue:Estadio Nacional, Lima
Date: Thursday, Oct. 6
Time: 5.15 p.m. EDT
Sio mtu mzuri kama "SCORPION WA BUGURUNI"??????Angel correa sio mtu mzur kwa game alizocheza pale atletico madrid ni balaa argentina wana watu hata kocha diego semion ni balaa
AnanikeraaaaHuyu higuain hata mimi ananiudhi kwakeli.,sijui waga anafanya makusudi?
Sio mtu mzuri kama "SCORPION WA BUGURUNI"??????
Angel correa sio mtu mzur kwa game alizocheza pale atletico madrid ni balaa argentina wana watu hata kocha diego semion ni balaa
Ananikeraaaa