radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Espeacially mkuu. Angel Correa shows a skillful attacking midfielder with the potential to be incredibly dangerous on the ball, He has one of the highest ball-control ratings in the game, meaning he'll quickly settle nearly every pass played within his reach. With the ball at his feet, he's a skilled and threatening attacker who can confidently beat defenders off the dribble.yani huyu dogo anajua kuuchezea mpira ni balaa,ukija kwa dybala nako hatari. Mchezaji mmoja tu huwa anatuharibia,, Gonzalo.
Mwanzo sikufaham huyu dogo kama ni argentina ktk mechi moja tu ya kwanza kumuona nilikubali ni bonge la mchezaji pia sifa ziende kwa diego simeon huyu kocha anajua kuifanya kazi yake argentina wana watu sijui kwa nini gonzalo anakuwa mzembe tofaut na kwenye club zake anakera sana sema labda kutokujiamini mana ukiangalia bench la argentina ni shida