BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #21
Naunga mkono hoja huu ni uzi mkali
Pamoja kamanda wangu PNC...tusubiri ya Barca pia 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja huu ni uzi mkali
Mie naisubiri ya wanaijeria.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuweka rekodi sawa, huu ndio uzi mpya wa Argentina mkuuView attachment 1744053
La Liga ubingwa ni wetu tushindwe wenyewe mkuuPamoja kamanda wangu PNC...tusubiri ya Barca pia [emoji3]
Sure kamanda...La Liga ubingwa ni wetu tushindwe wenyewe mkuu
Ligi chukueni wale mafundi garage wa kijerumani wanawasubiri UEFA wafunje record tena.Sure kamanda...
Barca 1-0 Real Valladolid, FT
Atletico 66
Barca 65
Madrid 63
Ligi chukueni wale mafundi garage wa kijerumani wanawasubiri UEFA wafunje record tena.
Si mkichukua mtaingia tena uefa na ile timu yenu wale wajerumani wapo tuu...Kamanda, tushatolewa huko...
Si mkichukua mtaingia tena uefa na ile timu yenu wale wajerumani wapo tuu...