Panic at ur own risk mwaka huu Messj hapati ballon labda abebwe
UNAULIZA MESSI KAIFANYIA NN AREGENTINA?!Huko argentina Messi kafanya nini cha maana,wanajikomba tu hao kumpaka mafuta kwa chupa ya mgongo. UKWELI UNAUMA KATAA UKUBALI MESSI NJE YA BARCA NI EMPTY CAN AS WELL EMPTY SET
Dah we jamaa ni mbishiBahat mbaya Xavi na iniesta hawakuwa wakimbeba messi.
Bali walikua wakitengeneza good playing style ya kusaidia scoring ya messi yeye messi pia akiwemo.
Maana anayebebwa hawez kuongoza kwa assist.
Ila messi japokuwa alikuwa ktk era ya Xavi na Iniesta yeye ndiye aliongoza kwa assit.
Bye
Dah we jamaa ni mbishi
Kwenye jukwaa la dini kule kwa id yangu ya ba swalehe hukunijibu swali langu mpaka leo [emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa mbishi kinoma wewe daah [emoji28][emoji28][emoji41][emoji41]
YANI MKUU USILALAMIKE WW TU SIJAKUJIBU SWALI LAKO.Dah we jamaa ni mbishi
Kwenye jukwaa la dini kule kwa id yangu ya ba swalehe hukunijibu swali langu mpaka leo [emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa mbishi kinoma wewe daah [emoji28][emoji28][emoji41][emoji41]
Rafiki yako siyo mbishi bali ni mahaba tu ndiyo yanayomsumbua kuhusu Messi, mtaadharishe tu kuwa asijekufa kabla ya siku zake[emoji28]Dah we jamaa ni mbishi
Kwenye jukwaa la dini kule kwa id yangu ya ba swalehe hukunijibu swali langu mpaka leo [emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa mbishi kinoma wewe daah [emoji28][emoji28][emoji41][emoji41]
We jamaa na mwandiko wako mkubwa huwa Unanifurahisha sana [emoji28][emoji28]YANI MKUU USILALAMIKE WW TU SIJAKUJIBU SWALI LAKO.
NIMEULIZWA MENGI MNO KIASI MENGINE YAMENIZIDI KUTOKANA NA KUWA MENGI NA. MM NI MMOJA.KWAHIYO MENGINE NIKASHINDWA KUYAJIBU SIO KUTOKANA NA KUWA SITAJUI.BALI KUTOKANA NA KUYASAHAU KWASABABU YA WINGI WAKE.
Jamaa na mwandiko wake mkubwa huwa ananifurahisha sana [emoji28][emoji28]Rafiki yako siyo mbishi bali ni mahaba tu ndiyo yanayomsumbua kuhusu Messi, mtaadharishe tu kuwa asijekufa kabla ya siku zake[emoji28]
UNAULIZA MESSI KAIFANYIA NN AREGENTINA?!
NIMEAMINI MROPOKAJI WEWE.
AYA NGOJEA NIKUJIBU ALIOYAFANYA MESSI.
1)90 % YA MAGOLI YAKE NA ASSIST ZAKE NDIZO ZILIZOIPELEKA TEAM FAINAL ZA COPA AMERICA.
2)90% YA MAGOLI YAKE NA ASSIST ZAKE NDIZO ZILIZOIPELEKA TEAM WORLD CUP FINAL 2014.
3)YEYE NDIYE ALIYESHINDA MAGOLI MATATU YA KUIVUSHA ARGENTINS KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018.
AYA UNALINGINE?!
UNAROPOKA HATA HUJIELEWI.
YANI MESSI ASINGEKUWEPO ARGENTINS NAKWAMBIA HII TEAM INGEKUWA UNDERDOG KAMA NICARAGUAI.
ISINGEFIKA HATA NUSU FINAL YA MICHUANO YEYOTE YA COPA AMERICA.
MAANA UKITOA MAGOLI YAKE ARGENTINS ISINGEFIKA POPOTE.
NDIO MAANA BADO WANAMUHESHIMU KWASABABU ATLEAST AMEFANYA ARGENTINS INATAMBULIKA BADO KTK SOKA.
Jamaa na mwandiko wake mkubwa huwa ananifurahisha sana [emoji28][emoji28]
UNAONA ULIVYO HUJUI MPIRA?!
2013 RONALDO HAKUCHUKUA KOMBE LOLOTE UEFA ALICHUKUA BAYERN MUNICH,LALIGA,COPA DELEY NA SPANISH CUP ALICHUKUA BARCA.
ILA KWASABABU RONALDO ALIKUWA NA MAGOLI MENGI KUSHINDA WENGINE NDIYO AKAPEWA BALLON D,OR.HAPO PIA RONALDO AMEBEBWA?!
NA KWA KIGEZO HIKO NDIO MESSI ATAPEWA BALLON D,OR.
KUMBE NABISHANA NA MTU AMBAE HATA MPIRA HAJUI
Unaona ulivyo mnafiki?
Lini messi kaogopa icardi kuja kikosini?
Hata hvyo aligoma mwaka jana tu kwasababu ya ugomvi wa jama kuchukua mke wa rafik yake.
Na usiropoke kusema messi anapanga kikosi daily acha unafiki.
Messi kapewa fursa ya kutaja watu wa kuja kikosini tu.ila kikosi cha kucheza anapanga kocha.
Messi angekuwa anapanga yeye asingekosa kumweka Dimaria na Dybala.
Kwasababu japokuwa Dybala hamkubali messi ila messi ameshaweka wazi kuwa hana ugomvi na Dybala anamkubali km mate wake.
Icardi wanadai ana bifu na rafiki yake Messi. Kwa kifupi Agentina chini ya Messi ina shida zifuatazo.
1. Hakuna kiongozi uwanjani
2. Udhaifu kwenye benchi la ufundi haijalishi kocha gani anachukua timu.
3. Personal misunderstandings baina ya wachezaji.
4. Udhaifu ndani ya cha chama chao cha soka, na
5. Hakuna planning kwenye soka la Argentina kwa ujumla pamoja na kuwa na vipaji kibao.
Wewe unayejua mpira kuna sehemu nimeongelea kombe ndio kigezo cha kupewa ballon? Panic utakavyo ila Messi huko ballon hapati kitu
KAKA AHSANTE KUMBE UNAJUA MPIRA.
HUYU NUMBISA ANAROPOKA TU HAPA NI BORA UMEMWAMBIA ARGENTINS ILIVYO NA MATATIZO.
Basi Ronaldo mwaka 2013 hakupata kombe lolote mbona kapewa ballon d,or nipe UFAFANUZI ?
Kila mtu anayechipukia na kuwa hatari kwa Messi mashabiki maandazi mnampachika uadui,si jana tu dybala kapewa kauchaw ka njano na messi uwanjani tena paulo ndie aliyeomba aiseee huyu huyu messi anayepanga kikosi nyuma ya steji unamtetea hapa eti kapewa nafasi ya kupendekeza wachezaji tangu lini kocha akaachia mchezaji nafasi ya kumsaidia kuchagua timu. Icard angeitwa kikosini Messi angefunikwa vibaya mno. Messi akistaafu argentina itapata matokeo bora kabisa
[emoji28][emoji28]Hapo ukute anatype huku anatetemeka kwa mahasira hahaha
Ufafanuzi umeshatoa mwenyewe huko juu,je Messi mwaka huu hajapata kombe lolote?
Kumbe kila akifanyacho ronaldo na messi aige duh
Soma hio namba moja
1.Hakuna kiongozi uwanjani(bali kuna mpamba tattoo za showoff na kulialia bila sababu)
2.ukiwa na ugomvi na messi,mkewe,au rafiki yake hupati namba batca wala argentina eg icard
3. Messi ni tatizo kubwa