Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Fifa best player, kwa maana hiyo Ballon de ore inamsubiri yeye tu ambayo ataipata January...

Masikini ya Mungu haters wanaumia sana kuona mchezaji bora kuwahi kutokea akinyakua matuzo mbali mbali japo wamemnyima tuzo ya goli bora la mwaka (Puskas award) 😀 😀 😀
Hahaha wewe jamaa nimekukumbuka liver alivyopigwa tatu bila pale camp nou ulichonga sana ila mambo yalivyogeuka mtu akala nne ukapotelea kusikojulikana
 
Hahaha wewe jamaa nimekukumbuka liver alivyopigwa tatu bila pale camp nou ulichonga sana ila mambo yalivyogeuka mtu akala nne ukapotelea kusikojulikana

Sina muda mrefu nimerudi kamanda 😀 kocha ndie anatuangusha
 
Back
Top Bottom