Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Hujielewi aiseee. Unakurupuka tu. Google atafungiwa na chama gani
MUACHE AFUNGIWE.
MAANA HATA WAKIMPA BAN ASICHEZE ARGENTINA.
ITAKUWA BORA ILI ARGENTINS ABEBE LAWAMA PEKE AKE.
ARGENTINA KUSIMAMA ITACHUKUA MUDA SANA.
MANAGEMENT NZIMA INATAKIWA IPIGWE MSASA.
WALIMFUNGIA MECHI TATU WAKAMKATIA RUFAA VILE VILE.
USIDHAN KM ANAWEZA FUNGIWA.
KUNA NAMNA ITAFANYIKA KUKATIWA RUFAA HUYO
 
He(ur tagiliko)says "The copa America is over, 6 games 1 assist 1 penalt, Give him balon d or
1)Uefa top scorer this season (messi ).
2)Europe top goal scorer with European golden boot (messi).
3)Best player Laliga(messi ).
4)Laliga top scorer this season (messi )
NOW WHO DESERVES IT?!
 
Hujielewi aiseee. Unakurupuka tu. Google atafungiwa na chama gani
Soma na ELEWA nilichozungumzia.
Huyo mtoto wa FIFA KAKA ANGU.
yani akifanya makosa haadhibiwi km wengine.
Ila afanye kosa Ronaldo uone.
 
Nadhani fact umeielewa.
Hata Ronaldo De lima hakuwahi kupata Uefa tangu kuumbwa kwake katika maisha ya soccer lakini haikumzuia yeye kuwa mchezaji bora.
Na vivyo hivyo kwa messi kukosa kuipatia Argentins kombe haitamzuia yeye kuwa mchezaji bora atabaki kuwa bora tu.
 
Heheheheee eti mtoto wa FIFA labda wa nje. Wa halali huyu hapa
1562522509113.jpg

Soma na ELEWA nilichozungumzia.
Huyo mtoto wa FIFA KAKA ANGU.
yani akifanya makosa haadhibiwi km wengine.
Ila afanye kosa Ronaldo uone.
 
VVD, Alisson
1)Uefa top scorer this season (messi ).
2)Europe top goal scorer with European golden boot (messi).
3)Best player Laliga(messi ).
4)Laliga top scorer this season (messi )
NOW WHO DESERVES IT?!
 
Aya tuone mwaka huu nan zaidi katika kinyang,anyiro cha ballon
Maskini,unaforce kujibu kila post lakini kuna nyingi unapwaya sana mkuu!

Ukweli mchungu ambao unabaki ni kuwa messi ameshindwa kusimama kama ronaldo kwenye timu ya taifa.

Usije na ishue ya De lima,njoo messi kwa ronaldo kwenye timu ya taifa,maana vyote alivyonavyo messi club ronaldo anavyo pia!

Sasa njoo interms of timu za taifa,ndipo utagundua kua andunje messi hana kitu,zaidi ya viliio tu na kuwatukana marefa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizo bookmarks unazijua mwenyewe ila captains ndio waamuzi wa mwisho. Still allison deserves ballon
Allison ht ktk tano bora ya contenders hayupo.
VVD hawezi kupata kwasababu anazidiwa bookmarks daily.
 
Sio kila kitu cha klabu Ronaldo anacho laaa.
Ronaldo hajawahi kupata trible ya makombe sita ktk msimu mmoja toka azaliwe na hatopata
Maskini,unaforce kujibu kila post lakini kuna nyingi unapwaya sana mkuu!

Ukweli mchungu ambao unabaki ni kuwa messi ameshindwa kusimama kama ronaldo kwenye timu ya taifa.

Usije na ishue ya De lima,njoo messi kwa ronaldo kwenye timu ya taifa,maana vyote alivyonavyo messi club ronaldo anavyo pia!

Sasa njoo interms of timu za taifa,ndipo utagundua kua andunje messi hana kitu,zaidi ya viliio tu na kuwatukana marefa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizo bookmarks unazijua mwenyewe ila captains ndio waamuzi wa mwisho. Still allison deserves ballon
Kama wewe ndio mkurugenzi wa FIFA tuone naondoka nimechoka kubishana
 
Sio kila kitu cha klabu Ronaldo anacho laaa.
Ronaldo hajawahi kupata trible ya makombe sita ktk msimu mmoja toka azaliwe na hatopata
Mkuu narudia mechi ya argentina hapa copa america wasizingue tena Messi lazima achukue ndoo this time
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani messi kapewa ballon d'Or

Fifa best player, kwa maana hiyo Ballon de ore inamsubiri yeye tu ambayo ataipata January...

Masikini ya Mungu haters wanaumia sana kuona mchezaji bora kuwahi kutokea akinyakua matuzo mbali mbali japo wamemnyima tuzo ya goli bora la mwaka (Puskas award) 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom