Hahaha wewe jamaa nimekukumbuka liver alivyopigwa tatu bila pale camp nou ulichonga sana ila mambo yalivyogeuka mtu akala nne ukapotelea kusikojulikanaFifa best player, kwa maana hiyo Ballon de ore inamsubiri yeye tu ambayo ataipata January...
Masikini ya Mungu haters wanaumia sana kuona mchezaji bora kuwahi kutokea akinyakua matuzo mbali mbali japo wamemnyima tuzo ya goli bora la mwaka (Puskas award) 😀 😀 😀