Brazil si umesema nawashabikia kwa sbb ni warembo 😆 😆 ila kumbe wanajipenda tuu ni wanaume mashababiHawana mpango... mapunga wengi mule.. Timu ni Senegal, France, Brazil
Pika mapema dogo ukikaa umekaa au unaaagiza take awayNa mbungi imeishiaa hapooo 🤸🤸
Sasa nileee cha dinner
Nisubirie hao masenegalii
Mendy wetuu 🤸🤸😂😂😂 ndo tufungwee hapo lawama zije kwa chesiiiiAya kazi imekarbia kuanza. View attachment 2423319
Wale ubishoo umezidiBrazil si umesema nawashabikia kwa sbb ni warembo 😆 😆 ila kumbe wanajipenda tuu ni wanaume mashababi
[emoji23][emoji23]Leo ajiepushe tu na lawama aache blunders za kishenz wa Africa weng ndo.team wanaitegemea Pa1 na mane kutokuwepo.Mendy wetuu [emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tufungwee hapo lawama zike kwa chesiiii
Sis me niko mwenyewe 😁Pika mapema dogo ukikaa umekaa au unaaagiza take away