HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ww timu gani DJ wanguLitakua boli mafuta tu
🤣🤣🤣🤣mkuuWanazi wa EPL
Senegal leo sioni namna gn anatoka lkn wakipata hata draw ntawaona mashujaa sana.. Lkn kiukwl game kwao ngum.. Na ukizingatia Ecuador tyr kashinda saiv yy anaamin kbs akikaza tu yy ana nafas nzr ya kufuzu na ni wazr..anyway ngj tusbr mbungi.Tunajiandaa na boli la Senegal...ila mimi nitakuwa Holland
Hakunaa 🤣🤭🤸Hakuna mliverpool aliefunga humo?
UpoooNdo warudishe mapema 🥲
Kwenu upo?
Me Senegal my wangu hahaKwani ww timu gani DJ wangu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Weee pole yao. Mimi kwa mbalii nashabikia liverpool sema sio mnazi kama wa Simba SCHakunaa 🤣🤭🤸
Hata hao wakijitoa watt wa malkia bd watakua na kaz ya kina Serbia na Denmark hakika hawatoboi mkuu.Mkoloni anaweza kuchukua ubingwa kama
Agentina
Seleko
Spain
German
France
Uruguay
Watajitoa
Ngoja tuone
Leo weupe umewakataaMe Senegal my wangu haha
Wairan sio waarabu na hawapendi kuitwa arabs. Wao waajemi.Waarabu wala urojo
Hawana mpango... mapunga wengi mule.. Timu ni Senegal, France, BrazilLeo weupe umewakataa