Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ipite Mara ngapi?Morocco akipita najipiga ban Jf ya dakika 10 naomaba Moderator awe shahid..
Hahahahaha unaumwa weweNiko live hapa naangalia mpira japo sielewi chochote
Naona tu jirani yangu anasikitika kila mara nae simueRewi
M
Morocco wanakaza sana
Kabisa,shida dunia nzima ubaguzi upo bora twende nao tujapo moroko mmetukataa waafrika wenzenu ila tuko pamoja. pigeni kakaunta kamoja tu mmalize kazi
π€£π€£π€£π€£ Endelea kutokuErewaaaNiko live hapa naangalia mpira japo sielewi chochote
Naona tu jirani yangu anasikitika kila mara nae simueRewi
Lenie bwana nimecheka kwahiyo unaangalia ili mradi tuNiko live hapa naangalia mpira japo sielewi chochote
Naona tu jirani yangu anasikitika kila mara nae simueRewi
kweli mkuu.Kabisa,shida dunia nzima ubaguzi upo bora twende nao tu
Wanarudi kukaba wote ndio maana hamna mtu mbeleWanashambuliwa sana afu wanapoteza nafasi za wazi.
M
Morocco wanakaza sana
Uliza wenzio wameomba watokee weee sasa imebidi wawapende tuuWataondolewa tena sio kwa matuta, hii sio ndoto bali ni kweli kabisa
Hahahaa nipo na wadau wapenda mpira, imenibidi tu nami niwe mpenzi mtazamajiLenie bwana nimecheka kwahiyo unaangalia ili mradi tu
Ndo nani picha haionekani kama TbcBi chaubaya kabwaga manyanga huko.
Mbona alikanushaPamoja na ubaguzi wao Sofaine bado nipo Morocco