Huyu Ziyech
Hata mm kwa kweli,jamaa nilimpenda ila alijiona kama Mungu mtuNitafurahi sana nikiona Ureno ya Ronaldo inatoka π Outπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
NiblockπππRoho mbaya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Team CR7 tushaandaa lawama kwa kocha shuaini zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mcute, ngoja nikodoe vizuri nimuone
Shenz kabisa huyu refaDk 8 za nini sasa
Sahii ameshatoka ππππNi mcute, ngoja nikodoe vizuri nimuone
Dimples heheee
Kwa nini asipigwe?Hapigwi mtu
Hivi ataipokea maana ustaz na gambeTuzo ya Badiweiza inamuhusu kipa wetu Bono