Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Wakikaz wanaeza beba kombe msimu huuYaani Messi tu ndio bahati yake japo naye siku yaja.
Inaenda kupoteza uhai saa4.The living comment, msiseme kama sikuwaambia.
Chizi sana yule kocha na akitoka hapo aachie ngazi
Kocha alizingua sana na hilo anajutia sana
Kaenda kulilia chumbani πππ
Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.Kocha amesaidia kupunguza idadi ya magoli...Penaldo angeaza ureno wangekufa nyingi
Hawa wamoroko baada ya kumchinja mreno next ni Argentina nao lazima wachinjweNilisema mwanzoni kabisa, kuwa hii WC ya safari hii imekuja kinyumenyume...
Muendelezo ndiyo huu..
Mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ kwa Morocco π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦
Baby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]View attachment 2442139
Kunywa maji, wenzako tulikuwa hivyo jana kwa Brazil. Machungu yamemalizwa na Morocco...Pumbavvv tena nyie waarabu!!
Mpuuzi huyu anakalili bila kuangalia current form ya timu husika,comment yake niliiweka nikisubiria siku husika.Naona mnafukua makaburi na kuzitazama upya risiti
Utawakataa. Kasoro Argentina alieponea chupuchupu favourite wote wametolewa.
Kumbe Jana pia Mkeka ulichanika[emoji23]Ahsanteni MoroccoView attachment 2442141
Sema ana tabasamu zuri sana baby HakimBaby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo ππππView attachment 2442139
Ronaldo akipanda pipa saivi anaweza kuwahi misa kesho ureno?Lala uende kanisani kesho
Messi anaenda finalYaani Messi tu ndio bahati yake japo naye siku yaja.
Sema ana tabasamu zuri sana baby Hakim
Ronaldo hana lawama kabisa lawama zote anazibeba kochaHafai kabisa. Alikua anaenda na mseleleko wa bila wewe tunaweza akasahau ushirikiano na uzoefu pia unaweza ibeba timu