Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hafai kabisa. Alikua anaenda na mseleleko wa bila wewe tunaweza akasahau ushirikiano na uzoefu pia unaweza ibeba timu
Chizi sana yule kocha na akitoka hapo aachie ngazi
Kocha alizingua sana na hilo anajutia sana