Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Amefanya nn alipoingia? Alikuwa anaruka ruka na kupoteza mipira.

Angepoteza poteza hivo kipindi cha kwanza kipindi lions wa atlas wana nguvu, wangefanya kaunta nyingi zaidi na kufunga zaidi
Nadhani hukuusoma mchezo vizuri mkuu, high balls, cross balls zote zilikuwa threat kwa sababu ya yeye kuwa pale mbele. Portugal walicheza long balls kipindi cha kwanza coz hawa waarabu ni wagumu ku-break, angekuwepo CR7 kungekuwa na kitu...
 
Unamwachaje Rafael leao , huyo dogo ni machine , kocha ni kiazi
Kocha ni kweli anaeza kuwa kiazi

Huyu Leao sijui kwa nini huwa hamuanzishagi...ni bora kuliko Felix

Ila lolote angelofanya angeitwa kiazi

Morocco ni wazuri sana kudefend

Rekodi yao mpaka sasa ni kuwa hakuna timu pinzani iliyoweza kuwafunga
Let that sink in!
 
Back
Top Bottom