Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dk 8 zimeongezwa, tuone kama tutasawazisha
Yan Senegal angepata leo hapa draw hlf Kwa Qatar point 3 izo kila Team kwny grp itapata hlf angenda pambana na Ecuador mguu kwa mguu.. Akiomba Holland amkazie. Pia Ecuador angeweza kusonga mbele.
 
Mnajifariji tu...senegal safar imewadia...hana mbinu, anapapala...hawezi kutoboa kwa ecuador na ecuador ataongoza hili kundi
Tatizo senegal ata kwenye afcon imekuwa uwezo wa kifunga magoli hawana striker wa ukweli. Defense yao inawabe a sana but u need to score goals especially kwenye hizi knockout competitions
 
Back
Top Bottom