Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mbele ya France hilo litakuwa ni jambo la kijingaSisi yatima wa malkia tuna jambo letu usiku huu
Hebu tupisheni kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele ya France hilo litakuwa ni jambo la kijingaSisi yatima wa malkia tuna jambo letu usiku huu
Hebu tupisheni kidogo
Mpka ww umelijua hilo basi wao wako makin sana usjal watalifanyia kaziDembele ni hatari zaidi kuliko Mbappe. Anaoiga cross nyingi sana za hatari, na anaweza ku-unlock tight defense.
Mbappe akifanyiwa marking vizuri au akikutana na team inayopaki bus, huwa anapata tabu sana.
Ila nahisi leo waingereza watafanya kosa la kumkamia Mbappe, na kumsahau Dembele!
Andaa tu mkuu,kisu tayari ninachoUtakuwa wa Kwanza kunikata
Shida ni wanavokuwa much know unapowaelekezaKuna watu wengi tu kama Hohehahe mtumainiye mungu hudhani Waturuki ni waarabu. Waturuki sio waarabu.
Pakistan, Iran, Afghanistan, Indonesia, Malaysia , Brunei Darussalaam zote hizo sio nchi za Waarabu.
Wana ratiba zingine mkuuhv tbc wanaonesha hii mechi ya France na england
Nitamtahiri mwenyewe huyo
Aukate tuuchome mshikakii
Angefungwa ungekuwa "piga mwarabu huyo" comments zimefika 50..Hivi kuna mtu mwenye swali kutoka kwa Morocco?
Nasikitika nimechelewa kuingia mjengoni mutokana na sehem niliyopo kuzingua mtandao.
Ila ninaimani wale wanafki wote waliokua wakiiombea mabaya Morocco (chama la wana) hivi sasa K chini.
Kama wewe ni shabiki wa Morocco nyoosha mikono juu.
Kumbe kuna wakaka humu wana KHivi kuna mtu mwenye swali kutoka kwa Morocco?
Nasikitika nimechelewa kuingia mjengoni mutokana na sehem niliyopo kuzingua mtandao.
Ila ninaimani wale wanafki wote waliokua wakiiombea mabaya Morocco (chama la wana) hivi sasa K chini.
Kama wewe ni shabiki wa Morocco nyoosha mikono juu.
channel gani startimes wanaonesha hii gameWana ratiba zingine mkuu