Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mpka ww umelijua hilo basi wao wako makin sana usjal watalifanyia kazi
 
Hivi kuna mtu mwenye swali kutoka kwa Morocco?
Nasikitika nimechelewa kuingia mjengoni mutokana na sehem niliyopo kuzingua mtandao.
Ila ninaimani wale wanafki wote waliokua wakiiombea mabaya Morocco (chama la wana) hivi sasa K chini.

Kama wewe ni shabiki wa Morocco nyoosha mikono juu.
 
Angefungwa ungekuwa "piga mwarabu huyo" comments zimefika 50..
 
Dstv msiwe mnawaweka hawa wasimuliaji wa leo upande wa kiswahili wanaboa tu

Kibwana ndio mtaalamu
 
Kumbe kuna wakaka humu wana K
 
Hapa namsubiri shangingi yeyote atakae mfunga mwenzie kwenye michi hiyo anikute kitandani, tayari nishaunoa.
Sana sana namtaka malikia, nasikia ananoga kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…