Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfungaji wa goli tafadhali.Bonge ya muwa maramamke yani hapa na Kimara
Nyie mlikuwa mnaona nineasy kula hela ya muhindi sasa tulieni
Kazi ya waingereza ni kukimbikimbia tu na mpira.20'
Ball possession: England: 52%, France: 48%.
Mh!!Huyu ndio mwenye kombe
Kwa hiyo unawaza England qatatinga semifinal?France watata bora eng
France ni timu mbovu???Mama!!
Mbona haujaongea bado.
Ngoja dawa ikuingie, wewe si unapenda timu mbovu?
Njoo Morocco "chama la wana" achana na watetea ushoga hao, eboh!!.
Duh pole aseeNiliishia kuandika tu,