Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Yan Senegal angepata leo hapa draw hlf Kwa Qatar point 3 izo kila Team kwny grp itapata hlf angenda pambana na Ecuador mguu kwa mguu.. Akiomba Holland amkazie. Pia Ecuador angeweza kusonga mbele.Dk 8 zimeongezwa, tuone kama tutasawazisha
Zikianza hesabu za namna hii ujue safari haiko mbali.Sasa ili tutoboe inabidi tuwapige Qatar na Ecuador
Njano moja tuMwamuzi wa Leo poa sana. Hamna card hadi sasa
Aise usiku umeharibika hapa ata kulala hulali kabisaUsiku unakua sio mzuri jamani wapate ki moja na wao
π€£π€£π€£Zikianza hesabu za namna hii ujue safari haiko mbali.
Anaharibu. Angetandika njano. Nimeweka over 1.5Mwamuzi wa Leo poa sana. Hamna card hadi sasa
Ndio yanakuwaga mahesabu yetu taifa starsZikianza hesabu za namna hii ujue safari haiko mbali.
Na wewe unajifariji tuMnajifariji tu...senegal safar imewadia...hana mbinu, anapapala...hawezi kutoboa kwa ecuador na ecuador ataongoza hili kundi
Aka me sipendiNa unavyopenda πππ
Hapa tuna apply probabilityZikianza hesabu za namna hii ujue safari haiko mbali.
Mmmh!! Kwa Ecuador nina mashaka.Sasa ili tutoboe inabidi tuwapige Qatar na Ecuador
C.DiattaMnamkumbuka huyu MsenegalView attachment 2423445
Tatizo senegal ata kwenye afcon imekuwa uwezo wa kifunga magoli hawana striker wa ukweli. Defense yao inawabe a sana but u need to score goals especially kwenye hizi knockout competitionsMnajifariji tu...senegal safar imewadia...hana mbinu, anapapala...hawezi kutoboa kwa ecuador na ecuador ataongoza hili kundi
Kbs Yan hesabu zikiwa mara yule afanye ivi ww ufanye vile.. Jua tu kinachofata utarud nymbn.Zikianza hesabu za namna hii ujue safari haiko mbali.
Ntalala bwana π π πAise usiku umeharibika hapa ata kulala hulali kabisa