Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Agh, siangalii hiyo game, me nimeshaangalia Morocco inatosha, hao wengine nikisema nikaangalie naweza kuchezea kichapo na sungusungu bure.
Mtaani kwangu wameanzisha sungu sungu wanatembezaje kichapoh!!!

Nitafuatilia hapa hapa JF.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Seli kavu ulikuwa wapi muda wotee nimekuelewa sna mm napenda watu wanaojiongeza Kama wew na Victoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…