Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Kwa mpira upi, wa kurundikana kuzuiaMbele ya Morocco ni wabovu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpira upi, wa kurundikana kuzuiaMbele ya Morocco ni wabovu tu.
Hivi hujui kuwa bingwa wa wc 2022 team ambayo haijawahi kutwaa kombe hata mara moja?!England wapite tu mwaka 66 ni zamaniii😁😁😁😁😁😁
Kumbe ngoja ntapitia kujikumbusha History kidogoWanaongea kifaransa kwa sababu Belgium pia wanaongea kifaransa na kiholanzi
Sawa nenda kapigeIla ile ni penalty
Apia mkuunichek inbox mkuu hutotamani kuangalia mpira kwenye tv,mb 500 unachek game yote full time hd
Ni game plan mzeeMpaka sasa kamati ya roho mbaya dhidi ya Mbappe imefanikiwa. Hana madhara
England na Taifa Stars ni pipa na mfuniko wala hawatofautiani chochote kile [emoji16]Waingereza wana kiherehere na majivuno sana. Wapigwe tu, hamna namna.
Na ndivyo itakavyo kuwaBas itakuwa saf africa kupeleka tim fainali
Nafanya imagination zangu hapa, namuona Le Kapitan Henderson na ile miondoko yake🤣🤣🤣
Mbeba maono... Mi sikatai tutaonaHivi hujui kuwa bingwa wa wc 2022 team ambayo haijawahi kutwaa kombe hata mara moja?!
Hao England na France hakuna chao hapo
Anisamehe tuNafanya imagination zangu hapa, namuona Le Kapitan Henderson na ile miondoko yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We uko Nyantulamwanaukome una muambia Gate kama uko Qatar[emoji23]Gate toa Saka, Ingiza Rashidi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Agh, siangalii hiyo game, me nimeshaangalia Morocco inatosha, hao wengine nikisema nikaangalie naweza kuchezea kichapo na sungusungu bure.
Mtaani kwangu wameanzisha sungu sungu wanatembezaje kichapoh!!!
Nitafuatilia hapa hapa JF.
Nimechelewa kuiona comment yako bila shaka utakuwa umeshajuaMfungaji wa goli tafadhali.
Seli kavu ulikuwa wapi muda wotee nimekuelewa sna mm napenda watu wanaojiongeza Kama wew na Victoria31'
Goal kick for France.
31'
Adrien Rabiot makes the tackle and wins possession for his team
31'
England are trying to create something here.
30'
Ball possession: England: 59%, France: 41%.
30'
Adrien Rabiot relieves the pressure with a clearance
30'
Phil Foden swings in the ball from a corner on the right, but it is nowhere near a teammate.
Aliyeuchana anastahili.