Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Wewe unajifariji pia, Ecuador kuongoza hili kundi labda kama umeichukulia mechi ya jana kama kipimo.Mnajifariji tu...senegal safar imewadia...hana mbinu, anapapala...hawezi kutoboa kwa ecuador na ecuador ataongoza hili kundi
Wee mhm labda kama mjomba kakuendea kwa mnganga kukata hamu.Aka me sipendi
Hao ndio hamna kitu kabisaaaaaDaah Senegal ndio bye bye ngoja tuwaangalie Ghana
Ecuador hana mpira wowote wa kutisha, alikutana na Qatar ambayo haina tofauti na team za hapa Tz (Simba & Yanga).Mmmh!! Kwa Ecuador nina mashaka.
HielewekiiWee mhm labda kama mjomba kakuendea kwa mnganga kukata hamu.
Wee kwanza una support timu game ki ukwli ukweli acahana na hawa tdh senegalese men
Ngoja tusubiri tuone.Ecuador hana mpira wowote wa kutisha, alikutana na Qatar ambayo haina tofauti na team za hapa Tz (Simba & Yanga).