myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Imewagharimu....Tatizo senegal ata kwenye afcon imekuwa uwezo wa kifunga magoli hawana striker wa ukweli. Defense yao inawabe a sana but u need to score goals especially kwenye hizi knockout competitions
Ecuador hawezi kuongoza hili kundi.Ngoja tusubiri tuone.
Full-timeMendy nyokooo wee 🤣🥲🥲
Bahati au classy ya timu?Ndo basi tena, bahati haikuwa upande wetu, sijui nalalaje Leo jmn
Wamejitahidi jamaniWaafrica ni Wafrica tuu
Kwa huu mpira wanaocheza, siwaoni nusu fainali, labda kama una team mbili unazoshabikia ujikite huko.Asante chama langu Netherlands, hamjaniangusha
Na Qatar nao?Waafrica ni Wafrica tuu