Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mshabiki wa Brazil pekee aliyebaki humu ndani wenzako wote wamekimbiaa
Mimi nilikuwa mshabiki wa Brazil ambaye sikuweka kipaumbele sana kumpa guarantee ya kufika mbali

Hata siku ingetokea Brazil amelutana na France nisingeweza kuwa upande wake kwasababu France ndio timu niliyoipa nafasi kubwa

Hizi zingine kina Morroco, Croatia, Portugal, Senegal nimezishabikia kulingana na opponent wanaye kutana naye

France is where I choose to stay permanently....whenever they in crisis I'll stay by their side
 
Watu wanataka tunapoangalia mechi, tusiwe tofauti na makochi ambayo hayana upande wowote.
Mpira gani sasa huo??

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mbeleko fc...!! Pale ilikuwa ni red kad kabisa bila ubish...!!!
Basi tujaalie kweli Argentina ni mbeleko fc as you claim.......hakunaga tuzo ya mtesekaji bora wao wanachotaka furaha kwa raia wao wa Argentina

Pia anaebebwa anabebeka kaa ukijua hilo...huwezi bebwa kutokea kwenye ka~pdf ka ma DC au RC halikuwa hata elimu ya kabachela tu huna Na wala huna wasifu wa kueleweka

Ila kaa ukijua hakuna timu yeyote ambayo imefika semi final kwa mbeleko
 
Just kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.
😂😂😂 Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
 
Mimi sitaki kuhama baada ya matokeo nasema hivi morroco apigwe kama ngoma na Argentina nae asichukue kombe nitafurahi Sana.
 
Watu wanataka tunapoangalia mechi, tusiwe tofauti na makochi ambayo hayana upande wowote.
Mpira gani sasa huo??

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanangu wa kuhama-hama, Makovu na mtakatifu Anna.

Ikitokea Croatia akamtoa Argentina, najua mtaniwinda kila kona ya JF. Bahati nzuri hamna namba yangu ya simu. Maana huyo makovu angekua anajua ninapoishi angenifuata kabisa kuja kuniuliza "kiko wapi?"


[emoji28][emoji28]
 
Mimi sina ushabiki na timu uchwara za kina Anduje na Babu yenu CR7
 

Sindo wewe ulikua unatuaminisha Brazil ni Bingwa?? Au unataka tufukue makaburi??. Kubali umechange gia baada ya Brazil kutolewa acha porojo
 
Sindo wewe ulikua unatuaminisha Brazil ni Bingwa?? Au unataka tufukue makaburi??. Kubali umechange gia baada ya Brazil kutolewa acha porojo
Ebu fukua hayo makaburi tuyaone yana mizoga gani maana nakuona umekomalia kweli
 
Brazil nayo nitaipigia kampeni, ila wakikutana na waafrika tu na switch upande nakuwa mzalendo

Katika wa Africa ambao nisingeweza kuwashangilia walikuwa ni Egypt, kwanza wao wenyewe wanasema sio wa Africa
Champagnee Hayo makaburi yamegoma kufukuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…