Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mkuu una habari lakini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa mshabiki wa Brazil ambaye sikuweka kipaumbele sana kumpa guarantee ya kufika mbaliMshabiki wa Brazil pekee aliyebaki humu ndani wenzako wote wamekimbiaa
Watu wanataka tunapoangalia mechi, tusiwe tofauti na makochi ambayo hayana upande wowote.Mimi nilikuwa mshabiki wa Brazil ambaye sikuweka kipaumbele sana kumpa guarantee ya kufika mbali
Hata siku ingetokea Brazil amelutana na France nisingeweza kuwa upande wake kwasababu France ndio timu niliyoipa nafasi kubwa
Hizi zingine kina Morroco, Croatia, Portugal, Senegal nimezishabikia kulingana na opponent wanaye kutana naye
France is where I choose to stay permanently....whenever they in crisis I'll stay by their side
Basi tujaalie kweli Argentina ni mbeleko fc as you claim.......hakunaga tuzo ya mtesekaji bora wao wanachotaka furaha kwa raia wao wa ArgentinaMbeleko fc...!! Pale ilikuwa ni red kad kabisa bila ubish...!!!
Bahati nzuri there is a lot of Muslims and Arab people in Africa.... We ukizila wenzako walaWacha kujipemdekeza wenyewe hawataki sapoti ya waafrika ila wanataka sapoti ya waarabu na waislam
😂😂😂 Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?Just kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.
Messi anabeba world cup 2022. Nyie kaunganeni na huyo lialia.Muda si mrefu naye Messi ataungana na mwenzie
Sema ye atabahatika kucheza playoff
Wanangu wa kuhama-hama, Makovu na mtakatifu Anna.Watu wanataka tunapoangalia mechi, tusiwe tofauti na makochi ambayo hayana upande wowote.
Mpira gani sasa huo??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi sina ushabiki na timu uchwara za kina Anduje na Babu yenu CR7Wanangu wa kuhama-hama, Makovu na mtakatifu Anna.
Ikitokea Croatia akamtoa Argentina, najua mtaniwinda kila kona ya JF. Bahati nzuri hamna namba yangu ya simu. Maana huyo makovu angekua anajua ninapoishi angenifuata kabisa kuja kuniuliza "kiko wapi?"
[emoji28][emoji28]
Ni kwa sababu mpira umeujua juzi juzi hapa!Mimi sina ushabiki na timu uchwara za kina Anduje na Babu yenu CR7
Hao kina auguero, messi, machelano, dimalia walikuwa wap!?Argentina ya 2018 ilikua haina Timu ni kama walikwenda kukamilisha ratiba. Compare Croatia ya 2018 na Argentina ya 2018 utaona kuna utofauti mkubwa sana.
Mimi nilikuwa mshabiki wa Brazil ambaye sikuweka kipaumbele sana kumpa guarantee ya kufika mbali
Hata siku ingetokea Brazil amelutana na France nisingeweza kuwa upande wake kwasababu France ndio timu niliyoipa nafasi kubwa
Hizi zingine kina Morroco, Croatia, Portugal, Senegal nimezishabikia kulingana na opponent wanaye kutana naye
France is where I choose to stay permanently....whenever they in crisis I'll stay by their side
Hao kina auguero, messi, machelano, dimalia walikuwa wap!?
SawaTukutane J4 hao Croatia wanalala vzr tu.
Ebu fukua hayo makaburi tuyaone yana mizoga gani maana nakuona umekomalia kweliSindo wewe ulikua unatuaminisha Brazil ni Bingwa?? Au unataka tufukue makaburi??. Kubali umechange gia baada ya Brazil kutolewa acha porojo
Champagnee Hayo makaburi yamegoma kufukuliwa?Brazil nayo nitaipigia kampeni, ila wakikutana na waafrika tu na switch upande nakuwa mzalendo
Katika wa Africa ambao nisingeweza kuwashangilia walikuwa ni Egypt, kwanza wao wenyewe wanasema sio wa Africa
Tumsubiri labda bado anapiga chepeoChampagnee Hayo makaburi yamegoma kufukuliwa?